Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ni tangu mwezi wa kumi mwaka 2024 TBS walitoa tangazo la nafasi za kazi kwa kada mbali mbali mpaka sasa kimya au waliita watu kimya kimya?
2 Reactions
2 Replies
550 Views
Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo...
2 Reactions
3 Replies
572 Views
Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
WAdau kuna shule inatafuta mwl wa English na Kiswahili kwa level ya Secondary [F1 -F4]hapa mkoani Kagera, ila inalipa laki 3 pekee Kama unataka nicheki inbob nikuunganishe faster
0 Reactions
6 Replies
557 Views
Habari za usiku wapendwa me kijana wa miaka 26 Nmesoma mambo ya udereva Nina class A, A2, B, D, E Elim yangu Kidato Cha 4 Uzoefu wa miaka 5 Pia nmefanya kazi kampuni tofaut tofaut pia vyeti vya...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Wadau poleni na majukumu Mimi ninahoja kama 3 naomba tujadili kidogo.Hivi wadau kwa aliyewai kufanya kazi akapa mshahara mnono na package nono alifanyaje ilikuwa ni bahati au connection nauliza...
5 Reactions
13 Replies
724 Views
Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wakuu habari . Mimi ni kijana wa kiume Umri miaka 24 Kwa sasa naishi Tanga (Lushoto) Nipo hapa kuomba nafasi ya Kazi au ajira katika maeneo yafuatayo. Elimu yangu ni shahada ya elimu...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Job type: Full-time Direct Sales Staff ( Fixed Term – 3 Years ) (300 Position(s)) Job Purpose: Support in driving retail sales objectives of the bank through day-to-day customer visits and...
5 Reactions
154 Replies
23K Views
Kama unao uzoefu wa kazi za sales kwa miaka mitatu, Diploma/ degree marketing nichek cv yako hybridprojectmanagement@gmail.com
1 Reactions
4 Replies
439 Views
Jaman NAOMBA mnisaidie kijana mwezenu nipate hata ugali na pakuishi nataka kumkimbia huyu mwanamke naombeni kazi wanaume wezangu na wanawake wenyew roho nzuri. Elimu yangu ni digrii ya ualimu...
1 Reactions
4 Replies
436 Views
We don’t just rent out beautiful cars, but we also offer powerful off-road vehicles. Welcome to Rhond's Company Limited for excellent car rental services. Call us or send a WhatsApp message to...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Kwa anaye fahamu hili naomba anielewesha tafadhali. Hivi kwa mtu mwenye level ya elimu ya post graduate diploma au masters mishara yao ni sawa au tofauti? Kwa anaye fahamu kwa kina zaidi naomba...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon ya kike, awe wa kike au wa kiume, kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habarini Wakuu. Nipo mbele yenu ninaomba kuunganishwa na kazi ili mradi nipate kipato changu halali. Nitaeleza kilichonikuta kwa ufupi. Mimi ni mhitimu wa Shahada ya Usimamizi Wanyamapori (bado...
15 Reactions
112 Replies
4K Views
EGA Wameshafanya yao
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Urgent anahitajika Mwalimu WA masomo ya Geography na History ngazi ya Shahada. Shule IPO Mbeya Mjini. Mwalimu awe mahiri na mwenye uwezo wa kufundisha na kutoa Matokeo mazuri. Mshahara ngazi ya...
0 Reactions
1 Replies
458 Views
Back
Top Bottom