Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 8,188
- 18,367
Wazee wa kujila mwisho wa siku wananuka choo.Wazee wa kujila.
Wacha niendelee kuuza matunda , nikisogeze kifo taratibu.
Kwani 2124 si atutokuepo duniani wana jf wote wa sasa.
😀😀😀siwezi mimi kwenda kujila bila manufaa kakaWazee niaje
Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba.
Mshindwe ninyi tu!
Kwenda kutumikishwa kwa kigezo cha uzalendo wakati umri unatembea! Hapo vijana wasiende wawapeleke watoto waoWew tangazo linasema hawatoi Ajira unaenda kumaliza Miaka miwili Bure kabisa huo muda ungekuwa umejitafuta na kuanza kujipata
Rest in peace to us in advanceWazee wa kujila.
Wacha niendelee kuuza matunda , nikisogeze kifo taratibu.
Kwani 2124 si atutokuepo duniani wana jf wote wa sasa.
Mkuu hiyo avatar sasa hivi inatisha.Maandalizi ya msimu wakilimo sio
Jitoe tu. Ajira ni mada nyingine inayojitegemeaWatawaajiri au ndo nitolee hiyo wakishajitolea...
Team jakarta, vijana mkapambane, mkalitumikie taifaWazee niaje
Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba.
Mshindwe ninyi tu!
View attachment 3107340
View attachment 3107341
Mm nikeweka tangazo tu. Vijana wanaotakiwa kuambiwa haya kila sehem wapo mkuuTeam jakarta, vijana mkapambane, mkalitumikie taifa
Nijitoe nikawapikie au.? Mimi nishavuka huko umri umeshaenda...naulizia kwa ajili ya vijana wengine mkuuJitoe tu. Ajira ni mada nyingine inayojitegemea