Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,858
- 4,880
Wakubwa,tulifanya written interview two or three weeks zilizopita na hawa gaming board.sijaona majibu ya usahili kwenye website yao mpaka sasa,kuna taasisi kama psrs mnafanya usahili watu wengi lkn kwa kipindi cha muda mfupi tu wanatoa matokeo,hawa gaming board watu tuliofanya usahili hatukua wengi ila mpaka leo matokeo hawajaweka.
Je wameita kimya kimya au?
Je wameita kimya kimya au?