Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za Jioni WanaJf, Je naomba kuuliza Katika kesi za watumishi wa umma ambazo zinaenda Ofisi ya Rais (Ikulu) Je vielelezo vinatakiwa vipelekwe kwa muda gani pia kesi hiyo unatakiwa iwe solved...
1 Reactions
2 Replies
428 Views
Wakuu nipo tayari kwa lolote mwenye mchongo wowote nafanya Ilimrad pesa ztasoma za kutosha, hakuna kufeli toa kazi tupige hela mapambano mwanzo mwisho Kazi yeyote unayoijua ww kasoro Moja tu ndo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Eneo la kazi ni kijichi mbagala kuu, malipo ni kwa siku baada ya makubaliano..kama upo tayari nichek pm kwa maelekezo zaidi
1 Reactions
0 Replies
281 Views
Salaam!!!! Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview. List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4) Shukran. Pia unaweza pitia Uzi...
3 Reactions
73 Replies
16K Views
Kwa maoni yangu, usaili ulikuwa wa haki, pepa ilikuwa fair, haikuwa ngumu wala haikuwa rahisi. Halafu ndo nini sasa kutuhesabisha vidole namna ile, wanatoa calculation halafu marufuku kutumia...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Natangaza nafasi ya kazi ya Muuzaji wa duka la bidhaa za ngozi na mwili. Eneo la biashara ni Mikocheni, karibu na Mikocheni Plaza Mshahara: 400,000 TZS kwa mwezi ( unaweza ongezeka kama utakuwa...
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, naomba kujua kiwango cha mshahara wa phd znz kama lecturer. Kuna mdogo wangu mmoja anakwenda kuhamia znz na anakwenda kusomesha chuo kule, wasiwasi wake ni hapo kwenye mshahara.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Saint Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) is a constituent college of St Augustine University of Tanzania (SAUT). It is located in Ifakara town in Kilombero...
0 Reactions
3 Replies
753 Views
Job Title: Assistant Lecturer Responsibilities To teach up to NTA level 8 (Degree). To prepare learning resources for lectures and tutorial exercises. To conduct tutorials and seminars for...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanangu majobless, Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
10 Reactions
35 Replies
2K Views
AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA. Anaandika Robert Heriel. Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna...
23 Reactions
95 Replies
21K Views
Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana. Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia...
27 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
poleni na majukumu. nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi . Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu...
4 Reactions
10 Replies
497 Views
Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa...
2 Reactions
103 Replies
11K Views
Habari wakuu nimepata changamoto ya kuomba nafasi OSHA kipengele cha Engineer II (PLANT) ina vigezo, uwe una bachelor degree in mechanical engineering na pia uwe registered as graduate engineer na...
1 Reactions
3 Replies
449 Views
Wana JF mko poa..? Nina bro wangu yupo south miaka mingi sana anaishi Capetown juzi kati nimewasililiana nae WhatsApp akaniambia kama sielewi maisha ya bongo niibuke kule atanifosia michongo...
2 Reactions
1 Replies
435 Views
Back
Top Bottom