Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari zenu wana jf,naombeni msaada mwenzenu mimi ni dereva wa magari leseni yangu ni class E,nina umri wa miaka 23,elimu yangu kidato cha nne ninauwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SALAAM wana JF , naombeni mnisaidie ? natafuta kazi ya ualimu wa somo la english ( niko vizuri sana katika kufundisha somo hili) japokuwa nimesomea mambo ya social adminidtration, Pia naweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani matokeo ya usaili wa zimamoto vp jaman mbona kimyaaaaa sana tujuzane wa JF:ohwell:
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ya kila siku nzima wadau. Naomba mwenye uzoefu juu wa written interviews kwa post ya Tutorial Assistant hasa aina ya maswali yanayoulizwa. Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Tunahitaji watu wenye uzoefu katika maeneo yafuatayo -Worksop Managers -Chief Security -Finance and Adminstative Manager Tuma CV kwenda info@lenjen.co.tz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SALAAM wana JF natafuta kazi ya graphic designing popote pale nchini Tz ninauwezo ktk Illustrator cs6, In design cs6 & photoshop cs6. natumia windows platform au mac platform. mawasiliano yangu...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Nina degree ya cooperative management and accounting from sua
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana jamvi,hawa jamaa wametangaza 3 month unpaid internship in saes and marketing,kwa yoyote mwenye uelewa juu ya hawa watu atujuze tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Fundi cm anahitajika awe anatokea dar es salaam,awe mwaminifu na aweze kuendesha duka,duka lipo tabata barakuda call0652740304
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasailiwa waliofanya usaili kuanzia tarehe 4 hadi 15 Machi, 2014 kwa kada za Kilimo, Mifugo na Uvuvi wametakiwa kuangalia majina yao katika Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa watakaokuwa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
ALIYENA orodha ya short list ya TPDC walioitwa written interview, anisaidie jama, nimeambiwa nilikuwemo sikuwa mjini kwa muda mrefu kweli nikiwa kijijini kujiuguza wapendwa, nataka nijisikitikie...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HAYA WADAU KAZI KWENU. TEAM LEADERS - THREE MONTHS CONTRACT (94 POSITIONS) Tanzania Postal Bank (TPB) seeks to appoint dedicated, self motivated and highly organized Team leaders (94...
0 Reactions
32 Replies
28K Views
POSITION SUMMARY: ICAP at Columbia University is seeking a Director of Research and Evaluation to coordinate multiple public health evaluations [PHEs] related to the scale-up of HIV prevention...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Title: Senior Global Fund Technical Advisor - Tanzania Period of Performance: 06/25/2014 – 03/24/2015 (2 additional options) Place of Performance: Dar es Salaam, Tanzania Service...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
naombeni msaada kama nipo mwenge natumia usafili gani kufika hapo mikocheni tpdc housing estate? karibuni
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jf.... Mbona hii mail ya tpb majanga? Msaada kama kuna yeyote anayeweza kutuma maombi anisaidie.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hi, mim ni graduate wa mwaka jana 2010, 25yrs of old. Natafuta kazi yeyote ambayo naweza kuifanya kwa ufanisi zaidi. Kiufupi ni muhitimu wa kozi ya biashara upande wa ununuzi na ugavi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Key Responsibilities, · Ensure quality implementation of services for mentally ill clients in Nyarugusu refugee camp, ensuring adherence to donor agreement and regulations, as well as IRC...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Position Summary: The Program officer will provide programmatic, administrative and logistic support for the implementation of the Program activities. Key Responsibilities: · Assisting...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nafasi za kazi E-Government Agency , Document Details | Tangazo la Kazi, April 22 Au Waweza kufanya maombi kwa njia ya Mtandao hapa: Tovuti ya Ajira Changamkia fursa.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom