Young African Leaders

Young African Leaders

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,336
Wakuu,hivi nani ana updates za hawa jamaa maana nimeona kimya wakati kwa nchi za wenzetu interview ishafanyika,vipi hapa tz any udate au kama kuna mtu kafanya interview afunguke basi
 
Hawa jamaa walishatoa majina kitambo......walishachagua watu wao wanaowataka. Kama uliapply..chek inbox yako. Walijibu kwa aliyeapply



Mimi sijapata.
 
Wakuu,hivi nani ana updates za hawa jamaa maana nimeona kimya wakati kwa nchi za wenzetu interview ishafanyika,vipi hapa tz any udate au kama kuna mtu kafanya interview afunguke basi
nilifanya interview Arusha,tulikuwa watu 120 nchi nzima,walikuwa wanataka 20 tuu,majibu yametoka wiki ilopita ya wanaoenda,NIMEKOSA
 
Kitambo sana walipiga simu kwa interview, kama hukuitwa jipange tena mwakani.
 
Majina ni ya upendeleo mimi nili apply sikuitwa ila wanasumbua kwa email any update wananitumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom