Uhuru peak ama Uhuru height? Kama ni uhuru peak asee ni bar flani hivi iko maeneo ya kijitonyama.
kama ni hapo kuna kampuni kama ya erolinki vile. madalali wa kutafutia watu kazi.ni uhuru height
Anayejua hii kampuni kuna mdogo wangu amepigiwa simu jumamosi aende holiday in hotel akafanyiwe recruitment anadai aliomba nafasi ya sales representative, aliyewahi kufanya kazi na hii kampuni vipi mazingira yao ya kazi yapoje.
Kama kizazi chenu kinachanganya mambo hivi hawezinkupata hiyo kazi..uhuru peak au uhuru heights.?
jamani msaada hii interview inafanyika saa ngapi, nimesahau kdogo
NDO hizo 0787322402/ 0767328063ni pm no zako nimpe mdogo wangu mwasiliane nadhani anajua mda