Graduate Trainee at Barclays Bank Tanzania

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
5,448
Reaction score
4,987
Graduate Trainee at Barclays Bank Tanzania , 2014 Graduate Development Programme is the programme will see you laying the foundations for your future success – taking the first steps towards a fulfilling, rewarding and lasting career with us. On the programme for 12 to 18 months, you'll be guided, moulded and trained – building up the skills and experience you'll need to become a leader for our future. Every step of the way, our training and support will keep your development on track.

The programme spans almost every part of our business, from Retail and Business Banking to Human Resources and Financial Management. Explore our Business Areas for the full list. And rest assured - every route offers its own challenges, and its own unique opportunities. We have opportunities in every country in which Barclays Africa operates – Botswana, Egypt, Ghana, Kenya, Mauritius, Mozambique, the Seychelles, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia and Zimbabwe.

Wherever you join us, you'll be challenged and inspire leaders at every level. You'll bring new ideas and enthuse all those around you. And you'll define where your ambitions lie within our dynamic global organisation.Who do we look for? Those who are eager to learn, ready to speak up, and focused clearly on what they want to achieve. These are the people who can put their careers into action – carving their own path while shaping our organisation for the future. Corporate and Investment, Banking Programme Accounting, Training Programme Certified Internal Audit Programme Graduate Training and Development Programme.

Deadlines Graduate Development ProgrammeApplications open 1st April 2014 and will close 31st July 2014.

Apply Now
 
Kama huna dvsn I ,0-level & A- Level + A-C ya Basic math and S ya BAM + GPA Ya kuanzia 3.8 usijusumbue ku-apply
 
Hivyo ndo vigezo vyao vilivyoandikwa ama? Me najuaga wanachukua upper second tu hayo mengine mbwembwe
 
kama head wa HR Dptmnt au MD yule mkenya ni ndgu yco unaweza ukaingia bila hvyo vgzo kama huna sahau hata usijisumbue ku apply. ila kwa uhakika unaweza kwenda kuuliza pale mtaa wa ohio opposte na serena hotel kama huamini.
 
Nimepoteza imani na Barclays because imekuwa so monotonous na wizi wa kupangwa na wafanyakazi wake. Nimeshahamisha pesa zangu nimebakiza pesa za kitabu/account tu. Yasije yakanikuta yale ya MERIDIAN BIAO!
 
Hivi tangu usikie Barclays inakufa huu mwaka wangapi sasa?
Hivi ni bank pekee kuiba au kuibiwa pesa dunia hii?
Hivi tawi likiibiwa pesa na account za wateja balance zao zinakuwa 0?
 
kama head wa HR Dptmnt au MD yule mkenya ni ndgu yco unaweza ukaingia bila hvyo vgzo kama huna sahau hata usijisumbue ku apply. ila kwa uhakika unaweza kwenda kuuliza pale mtaa wa ohio opposte na serena hotel kama huamini.

Nitaaply ngoja nijaribu kwanza... Kama hao wote wanaoitwa kila mwaka wana undugu na HR au MD sawa.
 
Kama lugha inapanda na ulichokisomea unakijua vizuri basi hapana shaka utafanikiwa na ajira, sio gpa wala upper second, hata ukiwa na lower watu wanaitwa, ni kujiamini na kujitambua. Lugha muhimu sana pale kwenye kujielezea, Resume yako iwe makini, halafu kitu kimoja hiki ndo kikubwa sn nacho ni je una kitu kipi cha kipekee kumuonesha mwajiri wako akuchukue ww na awaache wengine.
kila la heri
 
Kwa hawa vigezo ni upper second ndo unaitwa kama una lower na pass hiyo nafasi ya kumuonyesha hr kuwa unajua kupasua mayai haitakuwepo
 
Unafkiri waajiri hawajui kama sio wote wenye lower second ni vilaza? au sio wote wenye upper na first class ni vichwa? Kazi sio gpa bali kujituma, nidhamu, na unavojiweka.

Ni kweli unavosema kua wakiona kama una lower second wanatupa CV yako pembeni lkn sasa CV umeiandika km unapeleka assignment kwa mwalimu wako, ume print kwenye A4 mchezo umeisha. hujaipamba kbsa.

Iweke Resume yako fresh ipeleke na lower second yako uone kama utaachwa. Mfano CV yako umeandika unajua lugha kama 4 tofauti, kingereza, kiswahili, kifaransa na kichina. hlf umeendelea zaidi kwa kuandika wewe ni mtunzi wa vitabu umeshaandika vitabu vitatu japo havijawa published, pia unaonesha kua ni mtu wa juhudi binafsi zaidi kwa kusema umepiga research fulani na unacho kitini cha research hiyo umekiandika.

Unadhani utaachwa? amini usiamini ww ni wa kwanza kuitwa kuliko huyo mwenye first class. siku hizi kila mtu ana degree, kila mtu ana upper second, kila mtu ana first class, na maanisha wingi wa watu, sasa unatakiwa umuoneshe ww una uniqueness ipi ya kumvutia mwajiri wako, hapo itamuonesha una juhudi.

Sasa mtu hata lugha ya kingereza hujui vizuri kujielezea mpaka unachoka kumsikiliza, mtu anakwambia lugha ya kigeni, ni kweli lakn umeweka juhudi gani kuijua maana sasa hv bila lugha hiyo ni kasheshe, ndo maana wakenya na wanigeria na kwngne wanapata kazi sn hata hapa nchini kwetu kutokana na lugha, sisi wabongo nje kwenda kazi na hapo bongo shughuli.

Tusiwe wavivu, tujishughulishe, japo kazi na umasikini huu lkn kuna faida gani ya kukaa kitaani kulalamika huna ajira kwann usijiunge na library huo muda ukaupotezea huko. Mawazo tunayo mengi, basi japo andika hata kitabu kimoja hata cha story bac, au chochote kile, hujaweza kuki publish basi kitakupa credit sehemu km hizi kwenye kuomba ajira.
 
Sehemu nyingi hutumia system automatic mf TRA wakitaka mtu wa upper second basi hautumi cv unajaza tu elimu yako na kuselect skills zako basi una jiregister sehemu km hiyo huna uwezo wakuitwa ukiwa hauja qualify coz system kama imeset 3.5 above GPA ukiwa below hata km sio kila basi its done.

Na kuhusu cv hata hr wanajua cv nyingine mbwembwe tu watu wanaandikiwa ukimuhoji mtu hakuna kitu tena wengine hata ukimuuliza aeleze alichokiandika kwenye cv hajui...

Na ndo maana kwenye taasisi kubwa wanaprefer written then oral direct uje na vyeti vyako origibal wakupime uwezo wako coz wanajua cv nyingi magumashi tu.
 
Ni kampuni chache zenye system kama ya TRA, na pia system kama hiyo ndo maana wakaweka sehemu ya kujiunga kwa profile yako ili nafasi ikitokea ya vigezo vyovyote kama siku chache zilizopita basi mna apply, but kampuni kama ya barclays kila wakiandika wanataka upper na kuendelea, hawana system, kwahiyo ukisema una gpa ndogo nsi apply hautaajiriwa kampwe, kama una uwezo wa kipekee km nlivoandika juu na uwezo huo wa kweli basi ajira huwezi kukosa kabisaaaaa. hao wanaoandika uwongo hautawasaidia maana akienda kwenye oral anaonekana muongo, mi naongelea kuwa na vigezo vya kweli. mtu una internet kwenye simu kila siku unatumia net, badala ya kukesha facebook mtu basi hata kujiwekea saa moja kila siku kujifunza lugha mpya mfano kifaransa na kujiweka vizuri zaidi kingereza ili uwe wa kipekee kujiwekea nafasi zaidi ya kuajiriwa. na kuhusu kuweka written ni kutokana na kutaka kupunguza watu kwenye oral, interview wanakuja watu elfu moja, kila mtu umhoji utamaliza saa ngapi? hata km ww ni mwajiri huwezi fanya hivo, unawapiga written, watu wanaandika madudu, unawachuja mbulula wote hlf unaita watu 100 na hapo ndo unawaonesha kua ww unaweza.

Mimi kwanza nilikua sisubiri mpaka ajira zitangazwe, nlikua natuma CV yng kila sehem bila kuchuko, na sehemu nyingi wameniita kuni interview pekeangu na nafasi hazijatangazwa za kazi, kwahiyo tusisubiri mpaka ajira wazitangaze, we tuma tu.
 
Najua ni chache ila kutegemea HR aliye na CV 1000 za upper 2nd na ametangaza anataka upper 2nd anaye tafuta watu 50 apoteze muda kusoma cv za watu ambao hawakuqualify mahitaji yake hiyo possibility haipo otherwise ni ndugu yake... Maana hata wakitangaza kuwa wanataka upper 2nd wata concentrate kwenye vyeti na transcript tu katika kuchagua watu wanao wataka hiyo cv labda baadae kwenye oral kwanza haita sound sana kwao maana hiyo ni graduate trainee.
 
qn of sheba

Hakuna linaloshindikana. Speaking from experience. Watu wengi wana gpa ndogo wana apply kazi kwenye limitations za gpa km hiyo hapo na wanaitwa. We kama unahisi haiwezekani na haipo basi wengine tunasema inawezekana na ipo. Ushauri wangu kwa watu wote wenye gpa ndogo msikatishwe tamaa na hizo limitation za gpa, km unajua mambo na upo nondo, ipambe CV yako, itume, hlf aone kama hataitwa. Naongelea kwa kutumia uzoefu wangu, labda mwenzangu nawe unatumia uzoefu wako na kua haujawahi kuona kitu kama hicho.
Yote heri.
 
Yes wanaitwa ilo liko wazi but only if walioomba wenye vigezo wanavyotaka hawatoshi.
 
qn of sheba

Sasa dadaangu we unajua watu wote wanao apply?

Nina marafiki zangu wengi tu wana gpa ndogo na wanaitwa kwenye usahili, na watu wapo wengi sio kuhusu nafasi hazitoshelezi ndo maana wanaita watu, hapana. Nafasi zimetangazwa, wanataka gpa kwanzia 3.5, watu wana 3 wengne 3.4 wanaitwa.

Wanaweza wakaandika wanataka upper na first ili kuwakatisha tamaa watu wa lower. lengo la kuandika hivo ni kuwa watu wamekua wengi, itafika kipindi wataandika wanataka first class tu, lakini haimaanishi wenye upper ni vilaza, na wao wanalijua hilo.

Sibahatishi, nasema nachokifahamu.
 
Ni kampuni chache zenye system kama ya TRA, na pia system kama hiyo ndo maana wakaweka sehemu ya kujiunga kwa profile yako ili nafasi ikitokea ya vigezo vyovyote kama siku chache zilizopita basi mna apply, but kampuni kama ya barclays kila wakiandika wanataka upper na kuendelea, hawana system, kwahiyo ukisema una gpa ndogo nsi apply hautaajiriwa kampwe, kama una uwezo wa kipekee km nlivoandika juu na uwezo huo wa kweli basi ajira huwezi kukosa kabisaaaaa. hao wanaoandika uwongo hautawasaidia maana akienda kwenye oral anaonekana muongo, mi naongelea kuwa na vigezo vya kweli. mtu una internet kwenye simu kila siku unatumia net, badala ya kukesha facebook mtu basi hata kujiwekea saa moja kila siku kujifunza lugha mpya mfano kifaransa na kujiweka vizuri zaidi kingereza ili uwe wa kipekee kujiwekea nafasi zaidi ya kuajiriwa. na kuhusu kuweka written ni kutokana na kutaka kupunguza watu kwenye oral, interview wanakuja watu elfu moja, kila mtu umhoji utamaliza saa ngapi? hata km ww ni mwajiri huwezi fanya hivo, unawapiga written, watu wanaandika madudu, unawachuja mbulula wote hlf unaita watu 100 na hapo ndo unawaonesha kua ww unaweza.

Mimi kwanza nilikua sisubiri mpaka ajira zitangazwe, nlikua natuma CV yng kila sehem bila kuchuko, na sehemu nyingi wameniita kuni interview pekeangu na nafasi hazijatangazwa za kazi, kwahiyo tusisubiri mpaka ajira wazitangaze, we tuma tu.

Umenihamasisha sana we mtu
 
  • Thanks
Reactions: HMS
Back
Top Bottom