Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

natafuta mfanya kazi wa ndani,naishi arusha awe wa kike umri kuanzia miaka 16 na kuendelea,,mshahara ni maelewano kazi zake kuu ni usafi wa nyumba na vyombo,,kufua.mtoto aliepo ni mwenye umri wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anatafutwa mwanamke/mama kwenda kufanya kazi za ndani (housemaid) nchini Dubai. Awe na sifa zifuatazo: Awe na umri wa miaka 35 na kuendelea Muumini kwa Kiislam Aweze kuongea Kiingereza na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
https://www.facebook.com/pages/Alliance-Francaise-de-Dar-es-Salaam/265651016803055?ref=ts&fref=ts Alliance Française Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Hivi wakuu je kuna mtu anayefahamu kama wave ya 3 wamesharipoti kazini?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wale mliokuwa mkisubiri kwa hamu, Zimamoto tayari leo hii. Majina yako ktk gazeti la Uhuru la leo May 5,2014. Litafuteni. Thanks sana kwa kunivumilia niwa_update. Jana niliwaambia this time...
1 Reactions
113 Replies
16K Views
Natafuta kazi ya kufundisha economics A.Level au college
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wanaJF, naomba kujuzwa juu ya nafac za kazi za hawa jamaa wa TRA na CMSA za mwezi uliopita, wana-shortlist lini kama kuna mwenye kujua/pre-informed. Thanks in advance
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye updates za ile written interview tuliofanya last month atiririke jamani, naona kajua kanazidi kuzama
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nina degree ya Insurance and Risk Management natafuta kazi ya insurance officer au risk officer.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa jamaa mbona wako kimya sana kuna mwenye updates.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu msaada natafuta kazi, nimehitimu Diploma in Accountancy 2011 na nimefanya kazi kuanzia mwezi july 2011 mpaka december 2012.Baada ya hapo mkataba kuisha nimekuwa najishughulisha na biashara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pleas see attachments for job descriptions and requirements send end your CV, Certificates and a motivated cover letter to: gilbert@selous.com Deadline 15th May, 2014
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi? nina Advance Diploma ya Computer Eng pia nina cheti cha MCSE naitaji Office yoyote ambayo naweza kufanya kazi ya IT kwa kujitolea....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I am looking for a person to design a logo for my new company, If interested with experiences to design the same please contact me for an appointment. My number is : 0753-951337
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau coca cola-kwanza wametanganza nafasi hiyo!! Apply to Learning and Development Manager Coca cola Kwanza ltd P.O.BOX 7813 DAR ES SALAAM OR Lsumari@tz.ccsabco.com Deadline 21/5/14...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipi? nina Advance Diploma ya Computer Eng pia nina cheti cha MCSE naitaji Office yoyote ambayo naweza kufanya kazi ya IT kwa kujitolea....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kazi, nina degree ya Mass Communication, nina experience kidogo kwenye sales, na pia nina experience ya miaka miwili as receptionist nahitaji msaada wenu. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Naombeni kujua kama kuna ambae anawafahamu hawa wanaojiita freedom recruitment, Au ni matapeli wa ajira?Nilipokea message katika simu ikiniambia nitume cv , nilipojaribu kuipiga ile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wadau,naomba kujuzwa makampuni ya oil and gas yanayofanya kazi zake hapa Tanzania na zaidi sana maeneo ya Mtwara
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Jamani wana JF kuna mtu mwenye updates zozote za zle nafas za Railway children, deadline yake ilikuwa trh.25 mwez huu atujuze
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom