Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Habari zenu wana JF
Nimerudi tena jamani toka pale nilipoomba nafasi ya kujishkiza/kuvolunteer ikawa imeshindikana nikawa nakomaa na vibarua vya hapa na pale .But kwa sasa nimelazimika kusitisha masomo yangu (Diploma of COMPUTER SCIENCE) kutokana na na matatizo ya kidunia na uchumi, leo nimekuja kwenu coz naamini labda kusoma sio bahati yangu so wacha niangalie upande wa pili wa maisha. Jamani natafuta ajira aina yoyote narudia yoyote ile ila nisivunje sheria za nchi hii na iwe legal.
Maisha yanakuwa magumu upande wangu nitafurahi sana kama mwenye kufahamu wapi naweza kupata ajira (viwandani,makampuni,ujenzi,etc) Kitaaluma mimi ni form four, nina certificat ya infomrtion communicatin and technology. second semister nimeishia 2Nd semister in diploma of computer science.Uzoefu nilionao kutokana na kuhangaika kwangu
1.mimi ni blogger mzuri tuu(kutengeneza na kuendesha)
2.nina uzoefu wa kazi ngumu (ujenzi/zege/kupauwa/blandaring and fishering but sio professionala wa hizo kaz coz sijasomea na ktk harakat za kuhangaika tuu)
3.computer maintance,nipo vizuri kwenye mambo ya computer network pia computer application etc
4.naamini kazi yoyote inayohitaji nguvu ntamudu pia koz ni mwanaume ilimrad mkono uende kinywani (legally)
5.kazi yoyote ambayo unajua hii haihitaji Elimu ya juu masterz <PHD< etc me naamini ntaweza tuu kulingana level yangu Jamani kwa yoyote aliye tayari kunisaidia kimawazo,au kama umeskia wapi nnaweza kupta ni vyema kuambiana ila najua wengi mtakuja na mawazo ya kujiajiri (napenda kujiajiri na ninaziona njia nyingi za kutoka tatizo mtaji) lengo nipate mtaji kupitia ajira then nijiajirini. Akhsante kwa kupoteza mda wako wa kusoma uzi wangu na unisamehe kama utakuwa umeboreka.
Nawasilisha