Natafuta kazi ya Utingo

Natafuta kazi ya Utingo

Polax

Senior Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
116
Reaction score
6
Vipi wana JF, Please someone wa kunipa kazi nina shida kwa yeyote ani PM.
 
Kweli Zamaulid mie ni kijana mdogo ila mchapakazi yeyote sasa nikifanya awaiting nitakula jela soon
 
Utingo wa gari gani?

Daladala au za masafa. Na kama ni za masafa ni Dry Cargo au za mafuta?

Local au Transit?
 
Mie yeyote gari nataka riziki tu shark vipi nipatie au ni check 0685816103
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom