Nafasi za kujitolea za JKT kwa mwaka 2014

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,876
1,250
JESHI LA KUJENGA TAIFA LITAANDIKISHA VIJANA WA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KUANZIA JANUARI 2014. NAFASI HIZO ZIMETOLEWA KWA TANZANIA BARA NA VISIWANI.USAILI UTAANZIA NGAZI ZA WILAYA HADI MIKOA. VIJANA WANAOPENDA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KWA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI WAPELEKE MAOMBI YAO KWENYE WILAYA WALIKO.MAFUNZO YATAANZA MWEZI MACHI KWA WATAKAOCHAGULIWA.SIFA NA MASHARTI KWA MWOMBAJI1. Awe raia wa Tanzania.2. Awe na umri wa miaka 18 hadi 23.3. Awe na elimu ya darasa la saba hadi kidato cha sita.4. Asiwe ameoa, kuolewa na asiwe na mtu anayemtegemea.5. Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa.6. Awe na tabia na mwenendo mzuri.7. Awe tayari kufuata sheria zote za Kijeshi zitakazokuwa juu yake wakati akiwa Jeshini (kutoroka, wizi, ulevi, uvutaji bangi, madawa ya kulevya , upatikanaji wa mimba n,k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza kushitakiwa na kusitishiwa mkatba waako na Jeshi la Kujenga Taifa.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
 

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
597
250
Ivi wanaposema wataandikisha inamana watachukua majina ya waliopita wilayani au ndo michakato ya wilayani itakua inaanza?
 

babo

Senior Member
Apr 9, 2014
194
170
Ss mwisho lin mkuu,lakin ss mbon hapo hapo unasem mafunz yanaanz mwez March
 

babo

Senior Member
Apr 9, 2014
194
170
Huyo hata uhakik na maneno yake,tangaz la nyuma unalet lujadiliw,toa habari kamil mkuu wtu wachangie mada kusika
 

yousaw

Senior Member
Apr 21, 2014
183
225
Et wadau kuna kaukwel kokote kuwa JkT watachukua wa2 wa kujtolea mwez 6 au wa 9???
 

bhokemsama

Member
Jan 12, 2014
25
0
Mbona jkt washaingia since march ndo ntolee hiyo mpaka mwakan mwez wa pili ndo wanachukua batch jingine zoez hili lilikuwa nchi nzima mbona
 

yousaw

Senior Member
Apr 21, 2014
183
225
Af wadau haya matangazo yalyoptwa na wakat yacwe yanawekwa hapa, yanazngua 2peane updates co hz outdates.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom