Anatafuta kazi ya udereva

Anatafuta kazi ya udereva

Rancho Chand

Senior Member
Joined
Nov 4, 2012
Posts
150
Reaction score
71
Wadau wa JF, broo wangu anatafuta kazi ya udereva, anapatikana Dar. Ana cheti cha veta, cha form four, leseni class E, B, D, na C na uzoefu wa kutosha. Mwenye msaada tafadhali ani PM. Shukrani
 
Hebu cheki na mbuge wa Temeke Abbas Mtemvu. Anasema Uarabuni kuna nafasi za Kazi kwa madereva na mabinti wa kazi za ndani. Namwona hapa channel ten.
 
Asante, nitafuatilia

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Khaaah!
Kabla hawajaend plz wakaguliwe nyuma na wakirudi vle vle.cjui ntaeleweka?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom