Elifuraha Longu
Member
- May 8, 2014
- 73
- 10
Naamini kuwa JF members mko wazima wa afya njema.
Kuna tatizo kubwa katika mfumo wa upatikanaji wa kazi/ajiri nchi kwetu kwani ukisoma matangazo au ukienda kuomba kazi unaambiwa unatakiwa uwe na uzoevu wa zaidi ya miaka miwili, wanafunzi waliomaliza vyuo watakuwa na uzovu kutoka wapi?