Amana Bank Job Opportunity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amana Bank Job Opportunity

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Twaps, Jan 2, 2012.

 1. Twaps

  Twaps Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  nimesikia kutoka kwa rafiki yangu kua amana bank wametangaza nafasi za kazi ktk gazeti la mwananchi ila sijafanikiwa kuliona,je deadline ni lini?na je sisi wala kitimoto aka wakristo tunaruhusiwa kuaaply?
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Amana bank safi sana nawapongeza sana ila nitapenda kujua loan zao itakuwaje maana hawataki biashara ya riba kwenye loans zao au itakuwaje!!!!
   
 3. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pata tangazo na ulisome kwa makini. Ila Mwananchi ya leo haina tangazo la kazi hata koja!
   
 4. t

  thesolomon Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu umechelewa ila nafasi ni

  BANK CLERKS(TEN POSITION)

  QUALIFICATION.
  An upper second degree/advanced diploma in banking/accounting/economics/business administration
  five credit at olevel including english and math

  submit your application by email not later than 3rd january 2012 at 4pm to email recruitment@amanabank.co.tz


  head of human resources
  amana bank
  p o box 9771


  note selected qualifying candidates will be subjected to intensive banking training and those who will pass will be rectruited by Amana bank
  dar esalaam

  only shortlisted will be contacted to bring cv,copies.
   
 5. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hajachelewa bana! ngoja na mi ntume saiz deadline c sa kumi?
   
 6. Janice

  Janice Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bank clerks ndio bank tellers?hiyo bank inalipa vizuri sana,pelekeni cv tu kama mnataka
   
 7. d

  diziyanos Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wewe na kiti moto wako hao unaowala unaona unafaa hapo AMANA?
  Hawa jamaa riba tu hawataki ndio wakubali wala kitimoto?
  Mkombozi bank je vipi?Jaribu pia kupeleka maombi yako pale?
   
 8. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu,hebu zungumzia vizuri hapo kwenye red!!! Bank inayolipa vizuri ni ile ambayo m2 kama Teller anaweza kulipwa at least TZS 700k (basic); je wanafika hicho kiwango?! hebu dadavua ili tutafute mambo pale.....manake ingawaje nina tarifa na hii bank about 6 months ago, bado kabisa haijanivutia kupeleka japo CV....naogopa yasiwe ya Access Bank!
   
 9. herbsman

  herbsman Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hello unasema inalipa vizuri hoe did u know that wanalipa vizuri?
   
 10. herbsman

  herbsman Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  guyz mbona mnapenda kujibu majibu ambayo hamjapewa mi am christian na nimepeleka cv yangu amana bank.am ex banker nikiwa na upper second nzuri na nimefanya local bank na international bank so wasiponiita nitajua haawajiri wakristo coz nina vigezo vyote walivyohitaji.subira yavuta heri na tumpe mwenyezi mungu nafasi kwa kila jambo.
   
 11. Janice

  Janice Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bank tellers wenye experience wanalipwa basic ya 900,000
   
 12. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  dah kweli industry ya bank hailipi kwa subordinate level, mtu kwenye experience za kutosha anapata 900, kama ni kweli ni bora kujiajiri after working some years huo ni unyonyaji sababu wanatengeneza hela sana bank owners bank charges kibao, loan interest za kufa mtu halafu wanalipa their staffs hela mbuzi wakati wanambana kazini hadi jumamosi na mda wote yupo busy na kazi, migomo haiwezi kuisha tz
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Ukweli km huu unauma sana jamani.


   
 14. K

  Kaisi saidi Member

  #14
  May 12, 2014
  Joined: Feb 18, 2014
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nahitaji mkopo amana kank nitumie njia gani ili nipate mkopo? Na nilazima niwe na kigezo gani kukamilisha zoezi hilo?
   
 15. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2014
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamani hapo kwenye red ndio deadline and ni makosa ya uandishi
   
 16. r

  rolla JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,235
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  deadline lini...?
   
 17. korino

  korino JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2014
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hii thread ni ya cku nying...ilishapita mda
   
 18. Billgates wa bongo

  Billgates wa bongo Member

  #18
  May 12, 2014
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  napita 2
   
 19. neymunisi

  neymunisi Senior Member

  #19
  May 12, 2014
  Joined: Jul 29, 2013
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona tangazo LA 2012 au walikoseaaaa
   
Loading...