Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

kiwila bora CCP MOSHI likini no way polis wana kama miez 5 depo,nafas ni kiwila chuo cha magereza
 
kiwila bora CCP MOSHI likini no way polis wana kama miez 5 depo,nafas ni kiwila chuo cha magereza

mwaka jna na mwaka 2011 kurud nyuma walikuwa wakipiga depo na uhamiaji lakin polis wanawah kuondoka na uhamiaji wanabaki chuo msiogope...wakati mwengne wengne wanapelekwa kiwila na wengne ccp haya ya kawaida jiandae kama uhakika upo.
 
tatizo lako unaishi kwa mazoea,wakati unabadilika na watu pia wanabadilika..

Mkuu serikali haina pesa,usifikiri masihara hata hawa PCCB watakaoitwa japo walishapangwa wa kupata kazi,ila kuanza kazi mpaka mwaka ujao wa fedha wa serikali.
 
Kuna watu wanapenda sana kufarijiwa na vitu vya kijinga, huu ni uwongo lakini wanavyoamini utafikir kweli.

Kumbe hata wewe umewabaini hawa watu, kwanza depo la Uhamiaji linafanyikia CCP, Moshi, sio Mbeya, huwa wanafanya na Polisi, sababu Askari wa Uhamiaji ni sawa sawa na hawa Polisi ila tu utofauti upo ktk uniform zao na baadhi ya utendaji kazi zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom