LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
Mtaalamu wa umeme mwenye uzoefu na cheti cha diploma anahitajika haraka iwezekanavyo Pia tuna nafasi ya Flight Operation Officer,kama una vigezo au unamfahamu mtu mwenye vigezo tafadhali tuma CV yake info@lenjen.co.tz