pomo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 267
- 33
Habari wadau, kuna jamaa kanipigia simu leo anajiita Dr Wamarwa anasema yeye ni mwanasheria wa TANAPA Iringa, anasema anataka kuajili watu TANAPA kwaajili ya miradi maalum. Kinachonichanganya ni kwamba yeye ni mwanasheria anahusika vipi na kuajiri? namba anayotumia ni 0689727282.
Naomba msaada jamani kumbaini huyu jamaa.
Naomba msaada jamani kumbaini huyu jamaa.