Ni kama vile Gaming board wanataka kuchakachua matokeo ya written interview

Ni kama vile Gaming board wanataka kuchakachua matokeo ya written interview

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,508
Reaction score
4,362
Wakuu,tusaidiane kupaza sauti,hawa gaming board kuna uhuni nadhani wanataka kuufanya,

Tumefanya interview ya kuandika week tatu zimepita,hawajatoa majibu mpaka leo,number ya candidates hata haikua kubwa kiasi cha kusema bado wanasahihisha hadi leo,utumushi tumefanya juzi interview watu takribani elfu 8 nchi nzima but within 72 hours matokeo yetu tumeyapata.

Hawa gaming board wao kinachowachelewesha ni nini haswa?
Tusaidiane kupaza sauti.
 
Kwani mtihani wa gaming board mlifanya Kwa computer? Kama ambavyo mlifanya wa utumishi?
 
Kwahy kuchelewesha ndo wanataka kuchakachua matokeo
 
Mtoa mada ana hoja asikilizwe, mtoa mada nakupa code hii, nenda kwenye management structure ya gaming board kaangalie majina ya directors wote linganisha na majina ya applicants nenda kwenye kada ya licensing, auditor etc utakuja kuniambia hapa
 
Back
Top Bottom