Leseni ya EWURA kwa mtumishi wa umma

Leseni ya EWURA kwa mtumishi wa umma

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
518
Reaction score
709
Habari Wana JF natumaini mu wazima.

Mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2024 katika fani ya umeme.

Katika kujitafuta na kupambana na ajira bado sijabahatika ila nimeona Kuna leseni zinazotolewa na EWURA ambazo zitanisaidia katika kufanya vibarua vyangu.

Swali langu. Je, nikikata leseni hiyo wa ukandarasi wa umeme majumbani nitaweza badae kujiunga na utumishi wa umma pale ajira zinapotangazwa?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom