Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, natafuta kazi ya udereva, umri miaka 24, uzoefu miaka 3 leseni class D, Nimepitia chuo cha mafunzo ya udereva, nina cheti cha mafunzo na leseni pia.
Nina...
Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva
Nafanya kazi ya udereva
-gar ya nyumbani
-gar ya tasisi yoyote
-gar ya tx mtandao Uber bolt
Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu...
Habari,
Natafuta Kazi ya Stationery. Nina cheti cha Computer na nina uzoefu wa Kazi ya stationary and internet cafe kwa muda wa miaka 6. Mkoa;- Dodoma, Dar es salaam na Iringa.
Mkoa ninao ishi...
Habarini wana JF
Natafuta kazi maeneo ya Moshi.
1. Stationery
2. Supermarket
3. Sheli
Elimu yangu: Nimehitimu Chuo Kikuu
Naombeni connection
Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya
Eid Mubarack ndugu zangu watanzania na Viongozi wetu mbalimbali mliopewa mamlaka ya kusimamia haki katika Taifa letu,nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Leo naomba niongee na...
Tangu mkeka wa mwisho utoke nadhani ni Julai mwaka jana halafu ndipo ukaletwa huu uhamisho wa kwenye mfumo.
Juzi kati tena kukaja habari ya kufuata wenza watu wakashughulikia fasta.
Sasa baada...
Shalom
Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm...
Umri Wangu miaka 27 elimu yangu degree najiskia vibaya aibu sana ninapovitaja hivi vitu viwili. Sio kama mm ni mvivu wa kufikiria hapana nimekua nikijaribu kufanya kila niwezalo kuweka maisha...
Habari za wakati huu…
Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye...
Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta...
Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer...
Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu...
Wana JAMII FORUM naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?
KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya jumatatu nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
Watu wanalalamika kuwa paper imevuja,but ukiuliza ipi iliyovuja wanakuambia ni TMO ii pekee,vipi hizo zingine nazo zilizofanyika mbona hatusikii zikilalamikiwa?,
Matokeo ya hiyo paper...
Habari wadau.
Binafsi ni mmiliki wa app ya kufundisha tution za masomo kwa njia ya mtandao
Ninatafuta walimu wenye uwezo mkubwa wa kuelewa na kufundisha masomo ya o level. Na shule ya msingi...
Milio ni Mingi Wakuu!
Hapa Moja haisomi Mbili haikai. Yàani nimevurugwa kishenzi.
Harusi yàngu ni Mwezi huu. Alhamdulullah Watu wamechangachanga na tumefikia Asilimia 90% ya michango. Hapa bado...
TUNAFUNDISHA MASOMO YOTE,
KWA A LEVEL NA O LEVEL.
KWA WALIO MBALI NA DAR ES SALAAM, HOSTEL ZIPO.
KARIBUNI.
0625012562
0782044028.
TUPO TEGETA, DAR ES SALAAM.
MASOMO;
PHYSICS
CHEMISTRY
MATHEMATICS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.