Msaada Wakuu kuhusu OSHA ( Occupation Safety and Health Authority)

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
3,202
2,000
Salam.

Kwa anayejua tafadhali anisaidie kujibu yafuatayo.

✓Je, ni lazima uwe mfanyakazi au mwajiriwa ndio usome course (training) zao?

✓ Kwa graduate akitaka kupata hayo mafunzo kuna qualifications itahitajika uweze kusoma (kupata hayo mafunzo)

✓Vipi wanatoa any valid certificate pale utakapomaliza hayo mafunzo?

✓Last but not list, upatikanaji wa fursa je? unapangiwa na serikali au ni juhudi zako binafsi kupata sehemu (industries) kusimamia.

Ni hayo tu Wakuu nahitaji kujua.

Aksante.
 
pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
3,626
2,000
Mkuu kwa kifupi tu hao jamaa wanatoa mafunzo kutokana na course unayotaka kusomea na inakuwa kwa awamu au kipindi Cha miezi 6 inategemea na unachotaka kusomea na kuhusu swala la ajira ni Kama kazi nyingine tu unaweza kupata binafsi serikalini au kwenye miradi ya ujenzi Ila kwa taarifa zaidi wacheck Instagram kwa jina Hilo Hilo kwa taarifa zaidi
 
JOAQUEM

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,959
2,000
Salam.

Kwa anayejua tafadhali anisaidie kujibu yafuatayo.

✓Je, ni lazima uwe mfanyakazi au mwajiriwa ndio usome course (training) zao?

✓ Kwa graduate akitaka kupata hayo mafunzo kuna qualifications itahitajika uweze kusoma (kupata hayo mafunzo)

✓Vipi wanatoa any valid certificate pale utakapomaliza hayo mafunzo?

✓Last but not list, upatikanaji wa fursa je? unapangiwa na serikali au ni juhudi zako binafsi kupata sehemu (industries) kusimamia.

Ni hayo tu Wakuu nahitaji kujua.

Aksante.
Swali la kwanza.
Si lazima uwe Mwajiriwa ili uweze kusoma kozi zao. Elimu ni kuanzia ngazi ya cheti kupanda juu

Swali la pili.
Inategemea na kozi gani unataka kwenda kusoma, lakini nyingi zinahitaji uwe na background ya environmental science ( lakini hii naona kama sio kigezo sanaa wapo watu wamesoma hadi ualimu wa art ila wanasoma hizi kozi). Maana kozi zao nyingi zimelenga kwenye mambo ya afya, Usalam na Mazingira.

Swali la tatu:
Ndio wanatoa valid certificate ambayo inatambulika kitaifa

Swali la nne:
Fursa zipo upande wa makampuni binafsi, yanayojihusisha na miradi ya ujenzi, migodini na n.k. Pia viwandani hawa watu wanahitajika. Serikalini ni nadra sana kutangaza nafasi hizi
 
Shukrani sana boss..!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,203
2,000
Salam.

Kwa anayejua tafadhali anisaidie kujibu yafuatayo.

✓Je, ni lazima uwe mfanyakazi au mwajiriwa ndio usome course (training) zao?

✓ Kwa graduate akitaka kupata hayo mafunzo kuna qualifications itahitajika uweze kusoma (kupata hayo mafunzo)

✓Vipi wanatoa any valid certificate pale utakapomaliza hayo mafunzo?

✓Last but not list, upatikanaji wa fursa je? unapangiwa na serikali au ni juhudi zako binafsi kupata sehemu (industries) kusimamia.

Ni hayo tu Wakuu nahitaji kujua.

Aksante.
Wale wako kazini wanachotaka ni pesa pesa pesa.

Yeyote anaweza kusoma ila suala la kupata kazi kupitia training yao ni suala jingine kabisa
 
REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
3,202
2,000
Wale wako kazini wanachotaka ni pesa pesa pesa.

Yeyote anaweza kusoma ila suala la kupata kazi kupitia training yao ni suala jingine kabisa
Kuna bwanamdogo kapiga mambo ya Geology Hadi Sasa Hana mchongo,nimeona ajiongeze ili apate mahali pa kuanzia..pengine ataoneka!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,203
2,000
Kuna bwanamdogo kapiga mambo ya Geology Hadi Sasa Hana mchongo,nimeona ajiongeze ili apate mahali pa kuanzia..pengine ataoneka!
Mimi nimesoma zaidi ya hizo kozi za OSHA.

Nimesoma Environmental Health Sciences.

Ni kweli nafasi za kazi huwa zipo hususani kwenye yards za bandari, migodini na sites za ujenzi.

Na hii hutokana na kushurutishwa na hao hao OSHA waajiri mtu wa kusimamia usalama na afya mahali pa kazi.

Ila mara nyingi bila kuwa na experience ni ngumu sana kupata hizi kazi hata kama una hicho cheti cha OSHA.
 
REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
3,202
2,000
Mimi nimesoma zaidi ya hizo kozi za OSHA.

Nimesoma Environmental Health Sciences.

Ni kweli nafasi za kazi huwa zipo hususani kwenye yards za bandari, migodini na sites za ujenzi.

Na hii hutokana na kushurutishwa na hao hao OSHA waajiri mtu wa kusimamia usalama wa afya mahali pa kazi.

Ila mara nyingi bila kuwa na experience ni ngumu sana kupata hizi kazi hata kama una hicho cheti cha OSHA.
Shukrani Boss kwa kushare experience,
Hiiyo course ulipiga Ardhi univ. au wapi?
 
JOAQUEM

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,959
2,000
Mkuu JOAQUEM nimeona ratiba yao ya course..Ila sijajua Kama ikipita muda gani wanaanza Tena kutoa mafunzo au Ni mpaka mwakani tena..?
Hiyo ratiba ni ndani ya mwaka mmoja, wmbayo imegawanyika katika sehemu nne. Yaani kwakila kozi imerudiwa mara nne kufundishwa, ukitokea umeshindwa kuhudhuria kozi ya awamu ya kwanza au pili basi utaweza kuikuta awamu ya tatu au nne inategemea na ratiba yako jinsi ilivyo
 
REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
3,202
2,000
Hiyo ratiba ni ndani ya mwaka mmoja, wmbayo imegawanyika katika sehemu nne. Yaani kwakila kozi imerudiwa mara nne kufundishwa, ukitokea umeshindwa kuhudhuria kozi ya awamu ya kwanza au pili basi utaweza kuikuta awamu ya tatu au nne inategemea na ratiba yako jinsi ilivyo
Thanks once again boss.
 
JOAQUEM

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,959
2,000
Kuna bwanamdogo kapiga mambo ya Geology Hadi Sasa Hana mchongo,nimeona ajiongeze ili apate mahali pa kuanzia..pengine ataoneka!
Namshauri aanze na NOSHC - I halafu baadae anaweza kwenda na NOSHC -II ingawa si lazima aanze na NOSHC I halafu II. Anaweza akaanza II halafu then I

NB:
NOSHC I imebase kwenye general ya mambo ya usalama, afya na mazingira, ndio maana wengi wao wakishasoma hii hawangaiki kwenda hiyo NOSHC II

NOSHC II imebase kwenye mambo ya afya sana ( magonjwa , lishe na mambo kama hayo)

Pia kuna kozi zingine ambazo ni usefull sana, mfano Risk Assessment na working at Height.
 
REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
3,202
2,000
Namshauri aanze na NOSHC - I halafu baadae anaweza kwenda na NOSHC -II ingawa si lazima aanze na NOSHC I halafu II. Anaweza akaanza II halafu then I

NB:
NOSHC I imebase kwenye general ya mambo ya usalama, afya na mazingira, ndio maana wengi wao wakishasoma hii hawangaiki kwenda hiyo NOSHC II

NOSHC II imebase kwenye mambo ya afya sana ( magonjwa , lishe na mambo kama hayo)

Pia kuna kozi zingine ambazo ni usefull sana, mfano Risk Assessment na working at Height.
Yes hii risk management nayo naona Ni muhimu.

NOSHC laki6 naona imepanda au ilikuwa hivyo tangu awali?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom