stella paul
Member
- Mar 20, 2014
- 44
- 9
Wadau naomba idea (about salary) ya hii kampuni! wametuita kesho interview, kabla ya saa 5 asubuhi
kama ni kazi ya Software support consultant pole,kwani wameita nchi nzima iende kwenye interview.Unazani ofisini kwao patajaaje?Kuhusu salary soma hapa utajua ukajibu nini.wadau naomba idea (about salary) ya hii kampuni! wametuita kesho interview, kabda saa 5 ahsubui
Kijana nipo hapa simba technology kumbe hawa ni kama agent wa tigo employer.
Kijana nipo hapa simba technology kumbe hawa ni kama agent wa tigo employer.
Me nipo fresh kwenye database ,ms word,ms excel etc naweza pata chansi hapo.
Ok,I hope mambo yalienda vizuri,kwani waliita mtu aende na CV kwa ajiri ya interview inawezekana mmekuwa wachache kutokana na taarifa kuwa ya muda mfupi.hatukufika hata 50