Wanajamvi mimi ni graduate wa sheria (llb holder)natafuta nafasi ya kujitolea(volunteer) katika fani ya sheria na fani yoyote inayoendana na elimu yangu ili kujenga uzoefu na kupanua proffessional network.
mwenye info pls awasiliane nami kwenye PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.