Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

NGASEKU MDOGO

Member
Mar 20, 2013
50
0
Hivi inawezekana kweli taasisi itangaze kazi kwa mshahara huu tena bank kubwa jamani hivi ni makusudi au ni dharau. Naomba mnisaidie watu wa sales ndo mishahara yenu hiyooo
 

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,209
2,000
Kwa mwezi hamna contract ni bank ya waingereza kwa asili watu wameshapiga interview na kuitwa arusha huku
duh basi hatari sana labda kutakuwa na marupurupu mengine or kuna labda hela ya usafiri,or may be chakula n.k coz ni ngumu sana kuamini kama kuna mtu anaweza kufanya kaazi alafu akapewa 90k tu kavu
 

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,478
2,000
duh basi hatari sana labda kutakuwa na marupurupu mengine or kuna labda hela ya usafiri,or may be chakula n.k coz ni ngumu sana kuamini kama kuna mtu anaweza kufanya kaazi alafu akapewa 90k tu kavu

Labda kadri uki reach targets na ku exceed ndo unaongezewa mapene.

Ila km ndo elfu 90 mshahara hio ngumu kumeza.
 

kindili kindili

JF-Expert Member
May 27, 2013
244
225
naamini kabisa...koz wanaosaka wateja mbeya wale freelancer wanalipwa 50 per month ukipata wateja kuanzia wa tano.....intership yao utajuta unapewa kazi nyingne sio zako na hupewi ata maji ya kunywa
 

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
1,864
2,000
Mkuu crdb nmb NBC huko mara tatu ya mshahara Wa mwalimu graduate

nakubaliana kuwa wanalipa zaidi ile kwenye mara tatu nahisi unadanganya, mshahara wa mwalimu graduate ni 589000/= . 589000*3=1,767,000/= je huo ndio mshahara wa crdb? 1,767,000/= kwa graduate
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom