Dada yangu anatafuta kazi

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,375
2,000
Habari zenu wanaJF,

Nina dada yangu anatafuta kazi yoyote ya halali itayoweza kumwingizia kipato kitakachomwezesha kujikimu kimaisha. Ana elimu ya kidato cha nne pamoja na Basic certificate ya Records Management kutoka chuo cha Magogoni. Umri wake ni miaka 26. Ana uwezo wa kuzungumza na kuandika vizuri lugha ya Kiingereza na Kiswahili pia ana basic knowledge ya matumizi ya computer. Anaishi Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani za dhati kwa yoyote mwenye uwezo wa kumsaidia katika hili.

Email: pretlue25@gmail.com
 
kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
703
250
KAZI ZIPO NYING kama anaweza tumia computer mwambie atutaftie wateja wa kuwatengenezea website atapata 30% ya kila website itakayo fika TZS 130000/= kwenda juu 0788450136 au 0712450136 fuata linki hii Our Pricing List aanze sasa

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,099

jamaa kasema "dada yetu" ana basic knowledge ya computer. nadhani anamaanisha yuko vizuri kwenye Microsoft Office, emails, internet, kuzima na kuwasha, printing, scanning etc. hayo mambo ya kutengeneza website sio easy kwake. nadhani website zinahitaji kidogo mtu wakupiga "code".
 
kindili kindili

JF-Expert Member
May 27, 2013
244
225
secret service hujaambiwa akatengeneze website...mbn jamaa kaandika kiswahili kizuri tu umeambiwa atafute wateja wanaotaka website..yeye kazi yake kusaka wateja na anapata commission ya 30%, lugha ingne dalali wa website...duuuh sema jamaa wateja atawapata wapi siku hz kila mtu anajifanya anajuana....namuonea huruma hii kazi ngumu, anafanyaje anaingia kila ofc ama? hii ngumu mkuu na hv commision bora ungekua mshahara
 
Nilimuelewa vibaya basi kaka. Sorry. Ila kwa muda ukiwa unatafuta kazi, kama utaweza wapata hao wateja sio mbaya sana. 30% Kubwa mzee. Kwenye Tsh. 200,000 unapata Tsh. 60,000. Maisha yanaendelea.
 
kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
703
250
Mkuu umeelewa vbaya nmeandika "ATUTAFUTIE" sisi ndio watengenezaji
jamaa kasema "dada yetu" ana basic knowledge ya computer. nadhani anamaanisha yuko vizuri kwenye Microsoft Office, emails, internet, kuzima na kuwasha, printing, scanning etc. hayo mambo ya kutengeneza website sio easy kwake. nadhani website zinahitaji kidogo mtu wakupiga "code".
 
kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
703
250
Si lazima aende ofisini ni contact za watu kama namba za simu na email. email zetu zinachafuliwa na watu kila siku unakuta matangazo ya wazungu wanapozpata wanajua wenyewe. Na ndivyo nnavyo pita mm
secret service hujaambiwa akatengeneze website...mbn jamaa kaandika kiswahili kizuri tu umeambiwa atafute wateja wanaotaka website..yeye kazi yake kusaka wateja na anapata commission ya 30%, lugha ingne dalali wa website...duuuh sema jamaa wateja atawapata wapi siku hz kila mtu anajifanya anajuana....namuonea huruma hii kazi ngumu, anafanyaje anaingia kila ofc ama? hii ngumu mkuu na hv commision bora ungekua mshahara
 
prof.elias

Member
Nov 19, 2013
30
95
Mimi nitafanya kazi hii ya kutafuta wateja wa hii issue niongeze kipato kisha nitawasiliana nawe ila uwe mkweli mana mimi nipo dodoma nitakuunga nao.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
703
250
Mimi nitafanya kazi hii ya kutafuta wateja wa hii issue niongeze kipato kisha nitawasiliana nawe ila uwe mkweli mana mimi nipo dodoma nitakuunga nao.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums

Sisi tupo kikaz zaidi lengo n kufanya kaz ya ukweli inayokubalika ili kufikia malengo ya wateja wetu popote walipo Tanzania. Dhulma kwetu hapana.
 
Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,275
1,250

mi niko morogoro nahitaji huduma yenu, itakuwaje hapo? nipe maelezo ya kutosha, mna ofisi ?
 
kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
703
250
Sisi tupo Dar na ofisi ipo huku lakini tunaweza kukufanyia kazi yako ukitutumia profile ya kampuni, au shule au organization inayotengenezewa website. Malipo ni baada ya kumaliza kazi na wewe kuridhika. Tumemtengenezea huyu wakati yeye akiwa Mwanza Macstage real estate | Macstage real estate lakini hii Home tuliifuata ofisini kwao. Feel free Tupigie 0788450136 au 0712450136 kwa maelezo zaidi, KARIBU
mi niko morogoro nahitaji huduma yenu, itakuwaje hapo? nipe maelezo ya kutosha, mna ofisi ?
 
Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,375
2,000
KAZI ZIPO NYING kama anaweza tumia computer mwambie atutaftie wateja wa kuwatengenezea website atapata 30% ya kila website itakayo fika TZS 130000/= kwenda juu 0788450136 au 0712450136 fuata linki hii Our Pricing List aanze sasa

Mkuu nashukuru kwa mchango wako, nchi yetu hii hata makampuni makubwa ya wazawa unakuta hayana website kwa hiyo ni fursa nzuri ila kazi kubwa ni kuanza kumuelewesha mtu mpaka akubali kuwa nayo ukizingatia kazi hiyo inahitaji mtaji kiasi wa kutafuta wateja.
 
Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,275
1,250
Sisi tupo Dar na ofisi ipo huku lakini tunaweza kukufanyia kazi yako ukitutumia profile ya kampuni, au shule au organization inayotengenezewa website. Malipo ni baada ya kumaliza kazi na wewe kuridhika. Tumemtengenezea huyu wakati yeye akiwa Mwanza Macstage real estate | Macstage real estate lakini hii Home tuliifuata ofisini kwao. Feel free Tupigie 0788450136 au 0712450136 kwa maelezo zaidi, KARIBU

kwa hiyo nikiwaletea mteja napata commission yangu? baada ya malipo? i mean mkishalipwa? ngoja niwape dili hilo, ntawatafuta
 
kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
703
250
YEYE anatafuta wateja cc tunatengeneza. Wateja mara nyingi wanatafutwa online kwasababu DEMO zetu zipo online. Kwakua anajua computer ataweza kunasa email ktk vitu tofauti kama vile Business cards nk. Vipi atajua kampuni haina website? zipo njia nying mfano Google inaweza kutumika au ukiiangalia email inayotumiwa na kampuni ni yahoo au gmail unaweza bahatisha haina website. Atajuaje bei? price list zetu hizi hapa Our Pricing List DEMO zote zinauzwa
hapa hujaelewa mkuu, elezea vizuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom