Volunteer kwa maswala ya Umeme

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,620
5,536
Wapendwa salama humu, mie ni graduate wa veta mwenye taaluma ya Umeme wa majumbani, na mpaka sasa bado sijapata ajira rasmi, nimeona nitumie fursa hii kujitolea ili kupata japo kiuzowefu ktk taaluma, Pls mwenye kujua ofisi ama kampuni yoyote ile anielekeze.
 
Back
Top Bottom