Natafuta kazi za ndani

Natafuta kazi za ndani

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
430
Jamani wapendwa natafuta kazi za ndani kwa Mwanza na Dar.
 
jamani wapendwa natafuta kazi za ndani kwa mwanza na dar,


Mmmm umetokea wapi? isije ikawa umekimbia kwa mume! hebu tupe historia fupi ya maisha yako; ukielezea elimu, ujuzi ulionao, umri, changamoto ulizopitia na mambo yanayokuhusu
 
kwaiyo nje ya mikoa hiyo hutaki, au ndio wataka tukufikishe mjini uanze mbwembwe. me nataka mfanyakazi ila nipo mbeya . tupe background yako
 
namba ya simu hakuna unaandika andika tu, jieleze tukutafute
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom