sir.mohere
Member
- May 17, 2014
- 17
- 2
Wana jamvi naleta ushauri huu kwenu mimI binafsi napeleka mashitaka kwenye hii bank ya posta inapotosha umma huwezi amini kinachofanyika pale ni upotoshaji wa umma mfano wanatoa nafasi za kazi ovyo ovyo bila utaratibu maalumu ili mradi waonekane wanatangaza kazi.
Mfano walitangaza nafasi za freelencer email zikawa haziend wakatoa nafasi branch morogoro kimya wakatoa BOF musoma mbeya branch 14 hapo hapo hata dead line haijaisha wametoa nafasi arusha je hii ni halali je hyo anaetangaza kazi hiyo bank amesoma.
Kweli au ndo wale wanaochukuliwa na mjomba form four leaver huu ni ujinga nafungua kesi na hwa jamaa na hii nafanya hivo kama raia kupinga upotoshaji wa umma yaan chombo cha serikali kinaendesha kazi zake kama matapeli huu ni ujinga na mim staukubali ujinga huu msubirie mtaona mabadiliko.