Vijana njoo tujiajiri - hebu soma hapa

Ulimba

New Member
Mar 13, 2014
4
0
Hakika ajira ni sawa na hakuna hapa nchini kwetu baada kuona hilo nimethubutu kusajili company yangu - which is a full-oriented service provider, dealing with venue organization, management and consultation of a variety of events. Also to provide sound solutions by providing temporary and permanent sound solutions for various locations including meetings,conferences,gatherings and any event for the purpose of entertainment and any other purposes that sound solutions is indispensable. It was legally registered and incorporated in Tanzania under The Companies Act, Cap 212 [R.E. 202] with Company No. 100248 and Business License No. 01502900.

Pamoja na hayo sina mtaji ila naamini mtaji wangu na wewe(mtaji watu) muhimu tukae na wewe utakae kuwa interested na wazo langu ni weredi wetu , miguu, na kutengeneza network ya kazi na kujituma kwetu ndio mafanikio na mtaji wetu Natafuta watu wawili mwanaume mmoja na mwanamke mmoja wenye sifa hizi wawe na uwezo wakufanya haya hapa chini · Kufanya Marketing· Kuandaa Proposal · Kufanya Presentation· Kutengeneza BUDGET kama ya Road show, PA,CONCERT, n.k· Uwezo kwa kuongea Kingereza na kiswahili· Unaelewa wa kutosha katika mambo burudani na kuplan biashara.

NOTE – Sio ajira ila ni jambo la kuanza pamoja na kwa vile ni Limited Company tunaweza kukubaliana hisa kwa mujibu wa sheria pia taratibu za kisheria kwa mujibu wa jamuhuri ya muungano zimezingatiwa ikiwemo pi leseni ya kufanya EVENTS MANAGEMENT. Atakaye kuwa umevutiwa na wazo hilo tuma mail robikgsl@yahoo.com utapata maelezo office za muda zilipo hapa Dar es salaam
 

Msuya Jr.

JF-Expert Member
May 31, 2013
1,698
2,000
Yeah niko na baadhi ya hizo sifa hasa ya fluent in english and kiswahili, so ofisi ziko mitaa gani
 

mkomap

Member
Mar 17, 2013
69
95
Yah nipo na ujuzi in writting proposal za project, events and grants. also strategic plan and like. Also management zake even kutumia softwares.But nko dodoma. can it work.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom