yungsteval
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 309
- 109
Habari wale watu 1400 tulioitwa kwa usaili post za AFISA USTAWI all the best tuombeane wakuu, maana kupata kazi nayo ni kazi yani
1400? Nafasi ngapi mkuu, kama hazijafika 20 basi ni majanga. Kila la heri wote.
nafasi 184
Habari wale watu 1400
tulioitwa kwa usaili post za AFISA USTAWI all the best tuombeane wakuu,
maana kupata kazi nayo ni kazi yani