Msichana wa kazi za ndani anahitajika

Msichana wa kazi za ndani anahitajika

rasachri

Senior Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
145
Reaction score
35
Habari wana JF?

Anahitajika mdada wa kazi za ndani hapa Dar es Salaam.

Majukumu yake ni kufanya usafi maeneo ya nyumbani na kupika. maji yapo nyumbani, ikitokea dharula hayafiki hua yanachotwa kwa gari, hakuna mtoto mdogo, eneo la kazi ni mtoni kijichi, pia muhusika atachukuliwa kama sehem ya mwanafamilia.

Kwa mwenye ndugu au jamaa aliye tayari kwa kazi hii kwa malipo ya elfu 40, tuwasiliane. kama anatoka mkoani, ataghalimiwa usafiri na bosi wake.
 
this is joking.....yani umeshndwa kufanya hata makampuni ya ulinzi ulipwe laki 250000 au kufundisha?

Mkuu....hizo kazi zinaokotwa barabarani? Kiukweli hata mimi nimeitamani hii kazi sema bas tu
 
nenda makampuni ya ulinzi kama kk, g4s, sec group ukivuka interview yao na training hawana longolongo wala rushwa
 
Habari wana JF?

Anahitajika mdada wa kazi za ndani hapa Dar es Salaam.

Majukumu yake ni kufanya usafi maeneo ya
nyumbani na kupika. maji yapo nyumbani, ikitokea dharula hayafiki hua yanachotwa kwa gari, hakuna mtoto mdogo, eneo la kazi ni mtoni kijichi, pia muhusika atachukuliwa kama sehem ya mwanafamilia.

Kwa mwenye ndugu au jamaa aliye tayari kwa kazi hii kwa malipo ya elfu 40, tuwasiliane. kama anatoka mkoani, ataghalimiwa usafiri na bosi wake.
Wasiliana na huyu 0719557908 Anaitwa Aloyce..Atakusaidia ni Agent wa wafanyakazi.
 
this is joking.....yani umeshndwa kufanya hata makampuni ya ulinzi ulipwe laki 250000 au kufundisha?

My Godness, makampuni ya ulinzi haya makubwa ajira zake si rahisi kihivyo na inawezekana kweli mshahara ni uliosema!!! Sasa atumie nauli na kula unafikiri atabaki na shilingi ngapi kwa mwezi? haya makampuni madogo huwa mshahara ni 80,000 -100,000!!! Ni bora kuwa HG na unapata huduma za matibabu, chakula, matumizi ya kawaida kama sabuni, mafuta yaani na nguo na vitu kibao kibao. Na wanakuona kama mtoto wa nyumbani na mwisho wa mwezi unapata 40,000-50,000 na wengine hata 60,000-70,000. Mimi wa kwangu akianza tu analipwa 50,000 na hakuna hata mtoto. Na akishakaa say miaka 2 ninampandishia 60 or 70 kulingana na utendaji na uaminifu. Bado likizo na huduma zote. Akifika akikaa mwezi tu anafutuka kama mkate wa amira maana anajilia mpaka atoe hamu!!!!
 
Wasiliana na huyu 0719557908 Anaitwa Aloyce..Atakusaidia ni Agent wa wafanyakazi.

Agent wa uhakika mkuu au ni wale wanaofanya trading ya kuwabadili kila mwezi ili kuwafiz wateja tu. Kama una experience na huyu agent saidia maana hawa wa vijijini naona wanawasumbua sana akina mama maana hawajui mapishi so kwa miezi kama mitatu ni tatizo kufundisha.
 
My Godness, makampuni ya ulinzi haya makubwa ajira zake si rahisi kihivyo na inawezekana kweli mshahara ni uliosema!!! Sasa atumie nauli na kula unafikiri atabaki na shilingi ngapi kwa mwezi? haya makampuni madogo huwa mshahara ni 80,000 -100,000!!! Ni bora kuwa HG na unapata huduma za matibabu, chakula, matumizi ya kawaida kama sabuni, mafuta yaani na nguo na vitu kibao kibao. Na wanakuona kama mtoto wa nyumbani na mwisho wa mwezi unapata 40,000-50,000 na wengine hata 60,000-70,000. Mimi wa kwangu akianza tu analipwa 50,000 na hakuna hata mtoto. Na akishakaa say miaka 2 ninampandishia 60 or 70 kulingana na utendaji na uaminifu. Bado likizo na huduma zote. Akifika akikaa mwezi tu anafutuka kama mkate wa amira maana anajilia mpaka atoe hamu!!!!

acha hzo yani unamshauri graduate awe HG hvi wewe ni mzima kweli? Hayo makampuni hakuna ugumu ukiwa na vigezo na ukimaliza training tena mengne yanatoa hadi huduma za afya, wewe unatoa nssf au ppf?
 
nasikia kuna vijana wanajiita VIJANA WA KISASA GROUP wanajishulisha na shughuli hiyo ni 25000 kwa house gl na mengine mengi kama mchumba,mke, sms za mapenzi, pamoja na hilo la wadada wakazi. wako huko huko dar,watafute kama ni wakweli.
 
Back
Top Bottom