Experience miaka kumi

Experience miaka kumi

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Habari wana jamvi..ivi wale wanaotangaza kaz ambazo hazina ata mshahara mzuri na kuandika uwe na experienc ya 5 au ata 10 years uwa wanamaamisha nn?
 
Habari wana jamvi..ivi wale wanaotangaza kaz ambazo hazina ata mshahara mzuri na kuandika uwe na experienc ya 5 au ata 10 years uwa wanamaamisha nn?

wanamanisha uwe umefanya kazi miaka 10 nafikiri umenielewa mkuu hpo shda
 
Wanakuwa tayari wana watu wao tayari. So ni njia moja wapo ya ku-short list before applications
 
Itakuwa ajira ya high level kwa hiyo anatakiwa mtu experienced na matured enough
 
Sa wanategemea mie graduet nkapate wapi xperienc yote iyo na kama si wao kunipa ntapata wapi mana kila kaz uwe na experienc Jamaaaan!!!
 
Umenena vema sana queenlishas tukiwapata wadada 50 kama wewe hakika mwakani ccm wanaondoka bila hata kampeni ya machopa.

Sa wanategemea mie graduet nkapate wapi xperienc yote iyo na kama si wao kunipa ntapata wapi mana kila kaz uwe na experienc Jamaaaan!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom