Natafuta Kazi au Internship za Electronics and Telecommunication Technician

Dimoe

Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Habari wana JF wenzangu, mwenzenu ni nina shida nahitaji msaada wenu, nimehitimu mwaka jana Ordinary Diploma ya Electronics and Telecommunications pale Arusha technical college.

Nimeangaika kutuma application za kazi lakn sijapata kitu. Kama kuna yeyote anaweza kunisaidia.Naomba msaada wako katika hili maana mwenyewe nimeshindwa hata kama ni jeshini.
 
Habari wana JF wenzangu,
mwenzenu ni nina shida nahitaji msaada wenu,
nimehitimu mwaka jana ordinary diploma ya Electronics and Telecommunications.pale Arusha technical college.
Nimeangaika kutuma application za kazi lakn sijapata kitu.
Kama kuna yeyote anaweza kunisaidia.Naomba msaada wako katika hili maana mwenyewe nimeshindwa.hata kama ni jeshini.
Mawasiliano yangu ni
email:andrew.dismas@yahoo.com
phone number:+255769685818

Tembelea hapa: www.ajirakwanza.com
 
Wiki iliyopita niliona tangazo kwenye website,VODACOM wanataka kuanza program ya Graduate trainee ktk Telecomunication&electronics.ni internship flan ambayo wanatrain then wanaajiri.ngoja nicheki mtandao then ntakujulisha kupitia number yako ya simu.na wewe jaribu ku-google. SERIOUS
 
asante kaka ubarikiwe
 
Kama una dip ya electronic and telecom Nakushauri fanya mpango wa kusoma bachelor ya IT you will enjoy life
 
Mkuu vp IT kuna fursa nyingi hapa tz ?? Kwa ajira na ujasiriamali ?? What do u think ??
 
Jaribu kucheki michongo mingine kaka cheki sana net michongo ipo mingi
 
Back
Top Bottom