TTCL Oral Interview updates

TTCL Oral Interview updates

Mitomingi8s

Senior Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
132
Reaction score
39
Ndugu wanajamii naombeni update mwenye nazo kuhusu hao jamaa walipiga written interview on June 11 mwenye taarifa atujuuze maana huwezi pata popote hadi wakupigie simu.
 
kuna jamaa yangu kapigiwa leo mchana, wamemwambia aende j4 kwenye usaili wa kuongea makao makuu yao mtaa wa samora
 
mbona kuna jamaa wamepigwa cmu tayari leo asubuhi

Niulizie aliyepigiwa simu ni post gani? Maana kulikuwa na post tatu siku ya writen interview tax accountant, assistant accountant na management accounting ebu waulize watujuze au ni Pm
 
kuna jamaa yangu kapigiwa leo mchana, wamemwambia aende j4 kwenye usaili wa kuongea makao makuu yao mtaa wa samora

Muulize ni post gani kaitwa? Maana kulikuwa na post tatu pale
 
Back
Top Bottom