Wadau mwenye kujua hawa jamaa bank ya makabwela hua wanatoaje maswali msaada pls!!
Pia ningejua hua wanafanya aptude test au oral interview!
Nimeitwa kwenye usaili jumamosi mwanza,saa tatu asubuhi,ngoma inapigwa Monarch Hotel!!
mkuu kwa sababu unaonyesha zarau, kuita benk ya nmb superbrand, eti kuwa ni benk ya makabwele, uzuri ninayo namba yako, haina shida tutakushughurikia, haiwezekani unataka kufanya kazi benki ya nmb, halafu inaitukana. huu ni upuuziii
mkuu kwa sababu
unaonyesha zarau, kuita benk ya nmb superbrand, eti kuwa ni benk ya
makabwele, uzuri ninayo namba yako, haina shida tutakushughurikia,
haiwezekani unataka kufanya kazi benki ya nmb, halafu inaitukana. huu ni
upuuziii
Kaka una uhakika wa huo usaili au wazee wa mjini wanakupiga kipindi,NMB na monarch hotel bado hujanishawishi be carefully bro mwanza matapeli wengi.if ur sure then go ahead
Kaka unaogopa ya mwanza community bank??