Kazi inatafutwa

Kazi inatafutwa

luisajr

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
270
Reaction score
85
Je cc tuloishia form 4 zpo ? Maana tunaona wenye degree n diploma tu
 
Style yako hiyo ya kutafta kazi unategemea upate kazi gani??
Watu mliokuja jf mwaka huu mna vipost vya ajabu ajabu, ngoja nirudi reddit tu....
 
Je cc tuloishia form 4 zpo ? Maana tunaona wenye degree n diploma tu

Jiongeze ndugu , hata ukiwa na degree kupata kaz ni inshu.. bora uwe na ujuz haswa kama wa Engineering, Surveying hata ya diploma inaweza kukutoa ...ila form four labda uongezee na cheti cha NIT ili uombe kaz za udereva Serikalini.
 
Style yako hiyo ya kutafta kazi unategemea upate kazi gani??
Watu mliokuja jf mwaka huu mna vipost vya ajabu ajabu, ngoja nirudi reddit tu....

Asante sana kwa maneno ya busara
 
mmm....jf inakoelekea sijui kaka tutafika...kama mada ni za mtindo huu.
 
Back
Top Bottom