Kuhama kituo cha kazi

Kuhama kituo cha kazi

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
397
Salaam wadau, kwa yeyote anayeweza kunisaidia nimeajiriwa mwaka huu niko wilaya ya Lushoto nataka kurudi Tanga mjini au mkinga kwa anayeweza kunipa msaada jinsi gani naweza kuhama.
 
Kama umeajiliwa mwaka huu subili utimize miezi 8 kwanza ndo uanze kutuuliza au kama unataka uhamisho wa ndani ya wilaya utapa fasta
 
Back
Top Bottom