Habari wanajf?ndugu zangu nimeajiliwa na NGO moja hapa nchini ila kituo cha kazi ni musoma mjini sasa wadau nilikuwa nauliza vipi gharama za nyumba za kupanga huko musoma na maisha kwa...
Wasalaam,ndugu wanajamvi,
naombeni mnisaidie kazi yoyote halali,nina cheti cha form four pamoja na leseni ya udereva daraja la c,pia ni fundi magari.natanguliza shukurani.
Nipate walau kidogo...
Mwaka 1994/1995 nilikuwa jijini London nikifanya kazi za kitchen porter hotel mbalimbali hapo jijini. Najaribu sana kuvuta kumbukumbu zangu nilikuwa nikilipwa paundi ngapi kwa saa/wiki nimesahau...
Nipo Mwanza Mjini, hapa sina ramani hata kidogo. Naombeni mwenye dili lolote lile anipe, sichagui kazi, cha msingi iwe ya uhalali tu.
Elimu yangu ni kidato cha nne na nina driving licence...
Wakuu naomba kuuliza kuhusu uandishi wa barua za kuombea kazi. Nliwahi kusikia barua za kuombea kazi zinatakiwa ziandikwe kwa mkono....kuna ukweli wowote? Baadhi ya taasisi/makampuni huwa...
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu wam JF.
awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kunijalia afya njema ni kwa neema zake na si ujanja wangu.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28,na...
Habarini wadau!
Namtafuta graduate au yeyote mwenye kuweza kazi ya kukusanya email za makampuni mbalimbali na key persons katika business (East and Central Africa) yaani Tanzania, Kenya, Uganda...
NAFASI YA KAZI ACCOUNTS CLERK/ DEPARTMENT MANAGER
Sifa zinazohitajika:
1. Accounting Technician ll(Atec ll)/ Diploma ya accounts/ Diploma ya Business Adminstration.
2. Awe na uwezo...
Habarini za kwenu wapendwa? Nimatumaini mko poa! But back to the topic! Nikwamba nilifanya interview equity bank takriban wiki nne zimepita! Ila mpaka sasa kimya, je kuna mtu yeyote mwenye updates?
Wadau habari ya majukumu,Tumesikia kuwa PPF Walishaita,je HAWA SSRA Tayari?
TBS Tunajua bado huwa wanaweka ktk mtandao wao.....
kuna mwenye taarifa na hawa jamaa?
utumishi wameshortlist majina ya watu kwenda kwenye interview ila sasa ninachoshangaa wameita jana tu eti jumamosi watu waende kwenye interview kwanini wasiwe wanatoa hata wiki moja ya mtu...
habari zenu wanajamii forum,naombeni jamani kama mtu atasikia mchongo wowote wa kazi anijulishe kwa namba 0714921363 mm niko kilimanjaro nimehitimu mwaka jana so kama kuna kazi zozote za NGOs au...
Mnakosa kazi kwa uzembe tena wa hali ya juu! Hivi ukiona job advert cha kwanza unachofikiria ni nini? Kama mawazo yako siku zote yalikuwa ni kutuma cv yako na vyeti naomba kuanzia leo...
KISARAWE CEMENT FACTORY
Turkys Group of Companies started in 1980. Currently we deal in Real Estate, Hospitality, Petroleum & Gas, Manufacturing, Productions, Maritime, Merchandising...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.