Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wana JF, Kama mnavyo jua kumekua na tatizo kubwa la ajira hapa nchini, vijana wengi wamekua wakiangaika kutafuta kazi katika mashirika makampuni na taasisi mbali mbali hapa nchini. Ni...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Natafuta sehemu ya kujitolea kwenye legal firm. Nina postgraduate ya law.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja kati ya walioitwa kwa interview kesho tar 5 naishi temeke naombeni mnielekeze kilipo chuo cha mwalimu nyerere wadau... asanteni
0 Reactions
8 Replies
5K Views
I'm a student at the Eckernforde Tanga University who is recently completing the Bachelor of Arts with Education taking English and Kiswahili subjects. I'm writing to apply for part-time...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni kijana nimemaliza diploma in marketing management nina tafuta kazi ya marketing nikipata ntafurahi saana wakuu maisha ya kitaa magumu asikwambie mtu. Naombeni mnisaidie wakuu asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipata hofu kuhusu mfumo wa maombi ya kazi utumishi ikiwepo viambatanisho vinavyohitajika. Mambo matatu yalikuwa yananipa hofu moja ni je barua inaandika kwa mkono tu na haipaswi...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Serikali iliongelea hili jambo na ikasema italikomesha lakini naona bado hii biashara inaendelea. Je, ni kwamba wamewashindwa au rushwa imewazidi nguvu hata RAIS wa nchi hii inadharauliwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi na rafiki yangu tumeitwa kwenye usahili wa kuandika nafasi 3 tofauti na zote zinafanyika muda moja tarehe 17 Julai. Kwa mwenye kufahamu kama nitaruhusiwa kuingia kwenye zote kwa utaratibu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:flame:HIRING NOW :flame:by Ocean Breeze Cleaning company, Dar es Salaam! Assistant Director, Trainee, Supervisor, Cleaning Technician, Secretary. Visit our website for more information -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi (ijumaa) idara ya Uhamiaji ilifanya usaili kwa jumla ya vijana 10,846 ili kupata vijana 70 tu watakaoajiriwa kama Maafisa Uhamiaji wasaidizi. Hii ilikua ni wastani wa 1/156 yaani nafasi moja...
13 Reactions
66 Replies
12K Views
Jamani naombeni msaada kwa wale waliochaguliwa nafasi za kazi uhamiaji kwa huku zanzibar please
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi sio vibaya nikiwashrikisha swali lilikuwa unaelewa nini kuhusu Big result treory iliyotolewa na govervment? unafiri imefanikiwa kama ndio kivipi au kama no kivipi. Ni hilo jamani kila...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Tarehe 30/05 mwaka huu tulifanya interview chini ya tume ya utumishi wa mahakama nafasi ya hakimu mkazi kwny kumbi za national stadium. Mpaka leo bado kimya, mwenye updates atujuze because naona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nyumba inapangishwa iko ndani ya fensi ,vyumba vitatu ,sebule,jiko na store,ina umeme na maji ni ya tatu kutoka barabara kuu ya mwanza shinyanga iko maeneo ya nyegezi stand,anaehitaj anipm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jaman kama unasoma aya masomo na upo bukoba tusaidiane au atakama husomi ila unajua mtu aliyepo huku anayesoma au kufundisha aya masomo nisaidie.be blessed
0 Reactions
1 Replies
1K Views
utumishi waige mfano huo siyo kuita watu kibao,yani ratio yake imetulia kweli. angalia shortlist ya watu waloitwa kwenye usaili www.ajira.go tz nafasi moja wameitwa watu watatu au wawili,nafasi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwenye gazeti la leo la HabariLeo tume ya utumishi wa mahakama ometangaza nafasi za kazi 300 za Mahakimu Wakazi daraja la II.
2 Reactions
22 Replies
6K Views
wakuu naomba mnieleweshe hivi hawa watu walifanya usaili lini maana naona wamepangiwa vituo kwenye mtandao wa ajira utumishi. Mi pia niliombaga hizi nafasi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari,Mimi ni msichana naomba msaada nina certificate ya Airline customer service natafuta kazi yoyote part time.
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Habari wakuu, nlikua naomba msaada kidogo, hivi hizi interview za serikali za written znakuwa vipi kwa wale mliokwisha fanya?? Mfano ssra..
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom