Natafta kazi yoyote halali, nipo Mwanza

Natafta kazi yoyote halali, nipo Mwanza

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Nipo Mwanza Mjini, hapa sina ramani hata kidogo. Naombeni mwenye dili lolote lile anipe, sichagui kazi, cha msingi iwe ya uhalali tu.

Elimu yangu ni kidato cha nne na nina driving licence ninayoweza kuimudu kwani nina uwezo mzuri wa kuendesha kwa muda mrefu.
 
Daladala mbona zipo nyingi sana ndg yangu na madereva wanapiga sana hela,kwa cku ukikamilisha hesabu ya tajiri sh elfu 45, mnajaza na mafuta full tank,hapo we na konda wako mnagawana hata sh elfu 20 kila m1 na wakat mwingine hata zaidi ya hiyo sasa ni ndogo hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom