Handwritten or typewritten?

Handwritten or typewritten?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
62,101
Reaction score
127,854
Wakuu naomba kuuliza kuhusu uandishi wa barua za kuombea kazi. Nliwahi kusikia barua za kuombea kazi zinatakiwa ziandikwe kwa mkono....kuna ukweli wowote? Baadhi ya taasisi/makampuni huwa wanaspecify kabisa kwamba barua iandikwe kwa mkono. Sasa je kama hawajasema ni bora nitumie njia ipi?
Kama mkinipa strengths na weaknesses za njia hizi mbili ntashukuru zaidi.
 
Sehem zote hakuna mambo ya Barua za mkono.
Macho yenyewe yameishakua,miandiko mingine haisomeki.Uandishi wamkono ni wa Zamani sana.
Andika kwa Type,kisha sehem ya Signature ndio weka ya mkono.
 
Good... hii point nimeiwaza toka last week! miandiko mingine migumu sana kusoma, ni bora iandikwa kwa mashine then sehemu ya signature ndiyo ipigwe ka mkono..

Kuna watu wana-relate barua za mkono na typing kuwa the former inaonesha mwandishi ni masikini na the later inaonesha kuwa mwandishi ana uwezo fulani financially. something i see to be poor thinking capacity..

Kwa jinsi techno ilivyokua, typing is the best, kwanza barua nyingi siku hizi zinatumwa kwa e-mails.
 
ila kwa maombi ya kazi za serikalini hata wasipotoa maelekezo barua ni lazima iandikwe kwa mkono tu,lasivyo itakula kwako.
 
Sidhani kama hata Serikalini huu ni utaratibu,sasa andika uone pia inavyo kula kwako.
Mtu kaishapiga bia zake halafu umletee muandika wa kulaza sijui kupinda,ataichukua na kuitupilia mbali.
Barua zaidi ya melfu halafu mtu akubali kupata tabu na muandiko wako.Akisoma mstari moja tu akiona macho yanamsumnua anaitupa.
We kumbuka hata wakati tupo shule waalimu siku za mitihani wanasisitiza kwamba,jaribuni kuandika muandiko mzuri,maana wasahihishaji wa baraza la mitihani hawana muda wa kusumbuka kwenye miandiko migum yenye usumbufu,unakuta hata kama umepata vizuri lakini anakukata au anapotezea.
Sasa hata Barua za kazi ni sawa,unawezakuwa una vigezo vyoote,lakini barua yako tu ikakukosesha kazi,Yaani kama ungeona jinsi maboss wanavyokuwa wanazipitia barua basi ungesema kweli kazi ipo.Yaani akiona sehem haielewi vizuri tu basi anaitupa,maana mezani zipo telee zinamsubiri.Ndio maana mfumo wa CV na Oral Interview umekuwa unatumiaka sana kwenye ulimwengu wa sasa.
Kama utaandika kwa mkono na unahisi muandiko wako sio mzuri,basi tafuta mtu mwenye hati nzuri,maana kuna watu wanamiandiko utafikiria Keyboard ipo mkononi,yaani kama mashine kumbe mkono.Ila wengine kama sie basi utafikiria bata kapita.
Mie wakati nasoma nilikuwa namuandiko sio mzuri,ila kuna jamaa yangu alikuwa mkali sana kwenye hati,basi nilikuwa nikimuandikia Barua ya kumtongoza Dem lazima nimpe yeye acopy kwa muandiko wake,Dem akiona hivi anasema duhh unamuandiko mkali kweli,.hahaha Iseee hizi balehe hizi zinapitia mbali sana.
 
Asante mkuu nimekusoma
 
ila kwa maombi ya kazi za serikalini hata wasipotoa maelekezo barua ni lazima iandikwe kwa mkono tu,lasivyo itakula kwako.

kweli,mwaka jana kuna afsa mmoja wa takukuru aliniambia kigezo kimojawapo walichotumia kupunguza watakaoitwa usaili ilikua barua za kuchapa. Kama mtu alichapa ilikula kwake.
 
Aisee...
 
Utumishi au Serikalini wapi?? Maana mimi za utumishi huwa nachapa tu, pia kufuata maelekezo ni jambo la msingi sana cos za mkono mara nyingi unaambiwa uandike but kama hujaambiwa it is option
 
kwa nafasi zilizo nyeti hand written, TISS hupewa jukumu la kumchambua mtu kwa maandishi aliyo andika kwa mkono wake na wana uwezo mkubwa wa kumtambua mtu kwa maandishi yake kama ana faa au ni boya!!!!!
 
Back
Top Bottom