Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Hivi jamani hawa TPDC bado hawajaanza kuita watu? mbona naona kimya kingi? maana walituambia baada ya mwezi mmoja wangeanza kufanya mchakato wa kuita watu.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaan mwenye taarifa kuhusu tra? au ndo call for interview ishapita hivyo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MKAGUZI WA HESABU DARAJA LA II (AUDITOR GRADE II) – NAFASI 100 MECHANICAL TECHNICIAN & ELECTRICAL TECHNICIANADMINISTRATOR AT SATGURU TRAVELS DELIVERY OFFICER Millicom University Trainer...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina degree ya procurement and logistics management kutoka mzumbe university
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwal wa biology na chemistry leta cv Thomas secondary or contact on : 0682883703 Ipo gongo la mboto stend
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya sasa kwa wale tulioapply majibu yamekuja wakuu,wameweka majina ya waliowaita ktk gazeti la mwananchi la leo,ni mengi mno,wengine tumeangukia pua,kila ka kheri mlioitwa
0 Reactions
31 Replies
8K Views
tunatafuta waandishi wanaoweza kuandika gazeti la udaku sifa awe amewahi kufanya kampuni nyingine ya magazeti ya udaku awe anajua kuaandika stori mbali mbali kwenye gazeti awe mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
upande wa Agency kampuni itamlipa commision ya asilimia 25 kwa kila tangazo atalotuletea wafanyakazi wanaotaka kufanya na sisi wawe wameshawahi kufanya kwenye kampuni ya magazeti analeta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tunatafuta waandishi wanaoweza kuandika gazeti la udaku sifa awe amewahi kufanya kampuni nyingine ya magazeti ya udaku awe anajua kuaandika stori mbali mbali kwenye gazeti awe mtu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
I have specialised on economics and statistics,am looking for any opportunity under my field so as to apply m academic skills practically. you may send me your email so as to get my CV looking...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ninawasalimu wanajf. ssekretariati ya utumishi wa umma wametoa nafasi nyingine za ajira,kajaribu bahati yako. www.ajira.go.tz
0 Reactions
7 Replies
4K Views
hi' wana jamvi! samahani kwa anayefahamu mshahara uchumi supermarket wanalipa kiasi gani kwa customer service & cashier naomba kujuzwa. Na mfumo wa interv zao upoje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini? Ni dereva mahiri na mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya minne katika kampuni moja ya mabasi,yupo tayari kufanya kazi mahali popote na kwa aina yeyote ya gari pia ni fundi amesomea VETA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
tunatafuta waandishi wenye uzoefu na stori za udakuuu, ambao wamewahi kufanya kabla kwenye gazeti la udaku sifa wawe wanajua kuandika stori za udakuuuu wawe wamewahi kufanya magazetiii ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu! Natafuta kazi kati ya hizi personal Secretary, receptionist au customers care, Nimemaliza diploma ya Secretary Chuo cha Tanzania Public service college, nimchapa kazi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ninafanya kazi kwenye kampuni moja ya profession yangu , elimu yangu mwisho degree moja, nina mkataba wa miaka miwili nimeanza feb mwaka huu. Nalipwa take home 600 malupulupu hakuna , sasa kuna...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Kichwa cha Habari chajieleza. Najua humu kuna watu tofauti tofauti, ivo napenda kutumia fursa hii kujitangaza kwa mwenye kuhitaji watu wa Research yan Researchers, Monitoring and Evaluation au mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF naomba msaada mtu anayeifahamu hiyo idara husika hapo juu (THE COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION)
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Assalaam alaykum wana jf Jamani naomba kujuzwa kama tpdc washatoa majibu au kuna waloishaitwa baada ya usaili wa mwezi wa nne sababu ni mda mrefu na naweza kuwa nategemea kisichotegemeka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Greetings, The Board of Directors of an upcoming Civil & Building Construction Company Limited named "MCCL" a Class Three construction Company Limited headquartered in Mbeya City, is hereby...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom