KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
utumishi wameshortlist majina ya watu kwenda kwenye interview ila sasa ninachoshangaa wameita jana tu eti jumamosi watu waende kwenye interview kwanini wasiwe wanatoa hata wiki moja ya mtu kujiandaa siyo kila mtu anakua dar jamani jaribuni kuwaonea huruma wadogo zetu mbona za e~ gov mbona mmetoa tu mda wa kutosha.