Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,269
- 1,269
Mnakosa kazi kwa uzembe tena wa hali ya juu! Hivi ukiona job advert cha kwanza unachofikiria ni nini? Kama mawazo yako siku zote yalikuwa ni kutuma cv yako na vyeti naomba kuanzia leo ubadilike!!Soma na uelewe application instructions!!Mtu umeambiwa utume cv tu au email of interest wewe unatupia kila kitu hadi cheti chako cha darasa la saba!!!
Kama wewe ni mwana JF tafadhali zingatia application instructions (msaidie na ndugu yako pia).
Kama wewe ni mwana JF tafadhali zingatia application instructions (msaidie na ndugu yako pia).