Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Jamani eti nasikia Halmashauri na Manispaa zitaanza mfumo wa kuajiri wenyewe bila kupitia Utumishi. Hebu wanaofahamu watudokezee inakuaje hapa?
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habar zenu ndugu zangu.mi ni kijan mwenye umr wa miaka 24 naomben kazi yoyot iliyo halali niko dar kwa anaewez kunisaidia nitashukur
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF please please nawaomba sana mnisaidie mume wangu amesoma mpaka post degree na Hana ajira nifanyeje? Yaani mi ndo nalisha nyumba na kulipia mahitaji yote, sasa inaniumiza! Binafsi...
2 Reactions
253 Replies
42K Views
Wakuu heshima kwenu . Katika kufikiria ni vipi tunaweza wasaidia vijana wasio na ajira nikajaribu kupendekeza kuwe na chama cha watu wasio na ajira ,vilevile chama hicho kiandae makongamano kote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hamjambo wana JF poleni na majukumu kwa mulio katika payroll ya serikali and poleni kwa wale muendeleao kutafuta hiyo system. mimi nimeitwa kazi utumishi naelekea Halmashauri ya Singida. nataka...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari zenu wakuu? kwa wale mlomaliza usaili wa uhamiaji, naombeni munipatie yale maswala kwa anaekumbuka!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
chumba cha kupangisha ''single'' kinahtajika haraka mwenye nacho au mwenye taarifa sahihi aniPM zawadi itatolewa!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza pia natafuta tenda ya ku supply unga wa sembe kwa mashule au mashirika mbali mbali kwa jumla na reja reja,,unga ni safi kabisa tumesaga kwa mashine za kisasa kabisa.npo songea karibu na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana jamvi naombeni majina ya watu waliochaguliwa nafasi za uhamiaji hususan huku zanzibar niweze kujua kwa umakini naombeni hapa jamvini au nifahamisheni wapi nitapata
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Hellow wadau! habari za mchana. Mwenye info zozote kuhusu hawa jamaa wa TPDC tumefanya interview kitambo kimepita lakini mpk leo kimya. Mwenye kujua zaidi tafadhali tunaomba atujuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf naomba mnifahamishe, kama utumishi wa umma wanaruhusu m2 moja ku-apply kazi (nafasi) zaidi ya 1 kwa tangazo moja la kazi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nimeitwa interview kwa post ya sales representatives yoyote anayejua duties and responsibilities za kazi hii anijuze Hata mshahara wanalipa kiasi gani ?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Samahani wana JF naombeni msaada wenu juu ya wanayouliza kwenye usaili wao. Usaili utafanyika pale chuo cha mwalimu nyerere memorial academy.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msichana wa kazi anahitajika. kazi ni kupika, usafi wa ndani na nje ya nyumba, kufua na kupiga pasi, kulea watoto kwa maadili, watoto wapo watatu (miaka 9, miaka 7 na miaka miwili na nusu)...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Kwa mtu yoyote yule mwenye shida na fundi wa machine aina yoyote ile ya caterpillar achek na mimi hapa, pia kama unahitaji parts zake za kufanyia service wasiliana na mimi hapa, pia hydraullic...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nina rafiki yangu anafanya kazi kwa mkataba katika chuo flani cha serikali mkoani. Sasa Mungu amemsaidia kapata kazi ya kudumu serikalini. Tatizo ni kwamba kule alipo yaani mkoani kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu yeyote mwenye dili la kazi stationary anifanyie mpango nina cheti cha form four na nimesoma secretarial course....mawasiliano yangu ni 0653362784
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwenye NGO'S yoyote,ofisi yoyote au taasisi yoyote hapa mkoani RUVUMA.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? vipi kuhusu huduma za msingi kama...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
jamani kuna rafiki yangu mdada yeye ni std 7 amepata kazi dubai kufanya kazi ya usafi kwenye supermarket, na anatarajia kuondoka wakati wowote, je zikoje hizi kwa wanaozifahamu.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom