Ni kweli nyie wafanyakaz inawezekana mnalipwa mishahara kidogo.
Tatizo ambalo huwa najiuliza ni je hata hicho kidogo mnachopewa huwa mnakitolea jasho la kweli au ndo kufka maofcn mnasaini kisha mnaanza soga?
Mfano mdogo nauchukulia kwa mwalimu anayekula laki 3 alafu kuna mitoto kibao inamaliza darasa la saba hata haijui kuandka majina yao.
Sasa mfanyakazi wa hivo nikimkuta analalamikia udogo wa mshahara natamani hata nimtemee mate usoni.
Nendo hospitali kuna watu wanakula hadi milion na ushee lakini angalia utendaji wao had kichefchef na bado wako busy kuomba nyongeza za mishahara...
Utendaji wa watumishi wengi karibu sekta zote kuanzia ikulu kwa mkulu hauakisi mishahara yao.
Kazi kidogo mishahara mikubwa... natamani hata ingepunguzwa.
Bravo wajasiliamali na wafanyabiashara msiopenda kupoteza muda kwenye shughuli zenu za ujasiliamali.