Tusiime Tusiime Tusiime Nursery and Primary School.

Tusiime Tusiime Tusiime Nursery and Primary School.

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Kwa walimu wenye kujiamini na wasio na kazi wa masomo mbalimbali fanya fasta nenda Tusiime kaombe kazi.
Hii ni kutokana na kuwa Mama Rwakatare wa St. Marys amechukua walimu zaidi ya kumi toka Tusiime wiki hii kwa mtindo wa shule za private wa kupandisha dau.
Taadhari kama hauko fiti usiende coz pale walimu villaza utajiondoa mwenyewe kuanzia usaili.
Ni primary ila pale hata bachelor wapo wengi primary cha muhimu pay ni nzuri.
Shule ipo Segerea sanene.
 
Ada Sh ngapi? tupeleke watoto ili watakaopata kazi wapate mshahara pia
 
Ada Sh ngapi? tupeleke watoto ili watakaopata kazi wapate mshahara pia

sio chini ya laki 2.4 kwa mwaka.ntauliza coz mm bdo nafundisha hapa sijapelekwa stMarys.
 
Back
Top Bottom