DIUNATION
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,639
- 1,799
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni mwalimu wa sekondari katika shule ya serikali. Amemaliza mwaka jana Masters ya MODELLING MATHEMATICS na juzi tu kaitwa akaanze kazi katika moja ya vyuo vikuu binafsi hapa Tanzania.
Alipopewa mkataba ni kua atalipwa basic salary ya 2.1 million ila bado anaogopa kuacha kazi serikalini japo anatamani huo mshahara.
Mimi nimemwambia akafundishe chuo but kama haniamini.
NIPENI MAWAZO YENU WADAU HASA WALE WENYE UZOEFU ILI NIENDELEE KUMSHAURI.