Huyu secretary nimfanyeje wadau

Huyu secretary nimfanyeje wadau

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Kuna shirika moja nado job nami ndo in charge wa admin and finance,sasa kuna secretary ambaye hapendi nimwagize kazi na huwa ananijibu Kwa Nyodo sana nafikiria kumpiga memo ila naona ni mapema sana,hebu mnishauri wana JF
Mbaya zaidi nahisi anatembea na bosi ila nimeonyesha msimamo wangu kwake na sasa naona km ananiogopa ila ndo hataki kutumwa kazi na ulimpa kazi anachukua mda kuiaccomplish
 
mnapeana kazi kwa mdomo? Kazini kwenu time is not a factor of production?
 
Kuwa muwazi kazi unazomtuma! Je ziko ndani ya mipaka ya kazi? Je mahusiano yenu yalikuaje na yakoje sasa? Je hamna code of ethics? Hamna body ya nidhamu?
 
huyo nahisi atakuwa kaletwa, pili jibu umeshatoa hapo kuwa anatembea na bosi, tatu mnatumia mfumo gani wa kupeana kazi, ili kama akishindwa basi uwe na vithibitisho.
 
Kweli mkuu uasikute unaetumia vocha au unampa viatu apeleke shoe shine

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ulionyesha dalili yoyote ya kumtamani. Basi umekwisha ndugu.
 
I think she is typically a lazy go getter,ni mjinga tu na Leo hii nampiga memo kudadeki
 
huyo nahisi atakuwa kaletwa, pili jibu umeshatoa hapo kuwa anatembea na bosi, tatu mnatumia mfumo gani wa kupeana kazi, ili kama akishindwa basi uwe na vithibitisho.

True that,Mfumo upo with ethics Za kazi na JD kubwa tu
 
Vocha muhimu,hiyo ni any other duty as directed by superior ila ntamnyoosha tu I am learning her weakest link

Kama una mtazamo huu ana haki sio tu ya kukukatalia hata ya kukutukana. Nyie maboss mnaowafanyisha subordinates wenu kazi zisizo za organization nawachukia sana. Halafu akitokea kama huyu anajielewa mnaanza kumtengenezea visa! Badilika asee, heshimu utu wa wenzako, hajatoka kwake kuja kwende kununulia wewe vocha.
 
Vocha muhimu,hiyo ni any other duty as directed by superior ila ntamnyoosha tu I am learning her weakest link

Una matatizo kuliko huyo unayemshitaki. Nimeanza kuhisi unyanyasaji au kujifanya wakujue kwamba ww ndiyo mwenyewe! Unahisi anatembea na bosi (tuhuma bila vithibisho?) Umeonyesha msimamo wako (maringo? Dharau? Kufoka? Ubinafsi?....) sasa anakuogopa na utamnyoosha (Vitisho? Visasi?)..... kuna jambo siyo sawa! Angalia yasikutokee puani, maana sidhani hiyo code of conduct ya kwenu inaongelea hauo!
 
Kuna shirika moja nado job nami ndo in charge wa admin and finance,sasa kuna secretary ambaye hapendi nimwagize kazi na huwa ananijibu Kwa Nyodo sana nafikiria kumpiga memo ila naona ni mapema sana,hebu mnishauri wana JF
Mbaya zaidi nahisi anatembea na bosi ila nimeonyesha msimamo wangu kwake na sasa naona km ananiogopa ila ndo hataki kutumwa kazi na ulimpa kazi anachukua mda kuiaccomplish

wewe na huyo secretary ni takataka tu mnarudisha nyuma maendelea ya taasisi yenu!
 
Na wewe ni mpya nini hapo kazini maana unapania kuwapiga wenzio memo wewe umejikagua vya kutosha ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom